Polepole kufungwa au kunyongwa ikiwa tu...

Kama ni njama basi walioset trap hawapo smart kabisa.
Unachekesha hawapo smart mwendokasi kajibu jumbe mwenyewe na ushahidi upo, kwanini asinge kausha tu? Mwanaharamu apite



Nipen deal of million dollars, kwishaaa
 
Pole pole anaishi wapi na huyo jamaa kapotelea wapi?
 
Waache figisu wajibu hoja zake kwanza hayo mengine yatafuata, walikuwa wapi mda wote
 
Kuliwa aliwe mwingine Miguno atoe mwingine, Hizi ni Nyeghe au 😀
Mkuu shida sio mademu kuliwa, shida INAANZIA BAADA ya mademu kuliwa mpambe wa boss kavujisha siri, boss badala akaushe KAANZA kumtishia kijana atampoteza kabisa, kama ataendelea na hizo pumba zake, kijana kamrekodi kaonyesha ndugu kua anatishiwa maisha, hawajakaa sawa kijana kapote



Nipen deal of million dollars, kwishaa
 
Pole pole anaishi wapi na huyo jamaa kapotelea wapi?
Aliambiwa atapotezwa, ELEWA kupotezwa, si unakodiwa wahuni


Nipen deal of million dollars, kwishaa
 
Eti alikuwa anawachezea wadada labda walitaka wenyewe mbona unalalama wewe sa
 
Halafu anayelalamika au kudai huo msamaha, si mwanamke aliyefanya naye zinaa, bali mwanaume ambaye hata hakuwepo eneo la tukio..!!! Ushoga is real..!!
Mkuu huyo ndo alikua mpambe mtumwaji, lawama zote zikamuangukia NAE akafaulisha kwa mlengwa kila mtu abebe mzigo wake mlengwa KACHUKIA katoa vitisho


Nipen deal of million dollars ,kwishaaa
 
Kosa ni polepole kumtishia jamaa, mbona ange kausha tuu maana ana windwa ye hakujua Hilo?

Nipen deal of million dollars, kwishaaa
Siyo kosa kumtishia muhalifu ...huyo jamaa kama kaanza kuyasema hayo baada ya polepole kukosoa serikali maana yake huyo jamaa anatumiwa na watu wa serikali....hapo anaweza kutumiwa na watu wa serikali kumuua ili waseme ni polepole jamaa kajiingiza kwenye kifo kijinga sana pande zote mbili zinaweza kumtumia kwa kumuua ....very stupid
 
Mkuu huyo ndo alikua mpambe mtumwaji, lawama zote zikamuangukia NAE akafaulisha kwa mlengwa kila mtu abebe mzigo wake mlengwa KACHUKIA katoa vitisho


Nipen deal of million dollars ,kwishaaa
Mtoa lawama ni nani?
 
Eti alikuwa anawachezea wadada labda walitaka wenyewe mbona unalalama wewe sa
Sio Mimi ni Pius, Pius alikua mpambe mtumwaji lawama zikamuangukia yeye naye akasukuma mzigo kwa mlengwa, mlengwa KACHUKIA katoa vitisho


Nipen deal of million dollars, kwishaa
 
Hakika ni za kwetu
 
Eti alikuwa anawachezea wadada labda walitaka wenyewe mbona unalalama wewe sa
Hujaielewa kipi? Tuliza kichwa chako mkuu Iko hivi, huyu Pius ni mpambe kumuungia boss mbunye, ye kapewa lawama labda kawatelekeza mademu, ye kaona isIWE kesi kumpelekea malalamiko mlengwa, mlengwa KACHUKIA katoa vitisho hujaielewa kipi


Nipen deal of million dollars, kwishaaa
 
Nahisi walishindwa kumkamata polepole kwa sababu ya kigezo hivo bomu lilikua linasukwa kitendo cha mwendokasi kureact tu, case closed, ilikua kosa kubwa sana


Nipen deal of million dollars, kwishaaa
Hiyo trick siyo tishio kwa polepole ni tishio kwa huyo jamaa anaye tumika ...huyo jamaa kaamua kushirikiana na chui dhidi ya simba huku wote hao ,simba na chui ...yeye ni chakula kwao....watanzania tumieni akili zenu vizuri kutambua michezo kuna michezo unachezeshwa ili ugeuzwe kafara ...huu mchezo unafanana na ule wa ben saa8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…