Dadi Barnea
JF-Expert Member
- Nov 30, 2024
- 746
- 1,512
Chawa🚮🚮🚮🚮Mazungumzo na vyama mbalimbali vya siasa yaendelea.
Mnyetishaji wa tetesi hii anadai, muungwana atoa sharti kwa vyama vyote vya upinzani nchini kuweka kando tofuti zao na kuungana ikiwa wanataka mabadiliko ya kweli.
Mnyetishaji ameendelea kueleza kwamba muungwana amejiuzulu ili apate nafasi ya kugombea urais.
Je, atatoboa mbadhirifu huyu mtakatifu wa mali za umma?
una maoni gani?
Mungu Ibariki Tanzania
Labda kupitia chaumaMazungumzo na vyama mbalimbali vya siasa yaendelea.
Mnyetishaji wa tetesi hii anadai, muungwana atoa sharti kwa vyama vyote vya upinzani nchini kuweka kando tofuti zao na kuungana ikiwa wanataka mabadiliko ya kweli.
Mnyetishaji ameendelea kueleza kwamba muungwana amejiuzulu ili apate nafasi ya kugombea urais.
Je, atatoboa mbadhirifu huyu mtakatifu wa mali za umma?
una maoni gani?
Mungu Ibariki Tanzania
Aiseeee! shingo inateseka bure kubeba boga lililooza siyo?Another innocent neck carrying a rotten pumpkin head.
Siku hizi munawapa ubarozi wabadhirifu? Nani sasa msafi huko CCM.Mazungumzo na vyama mbalimbali vya siasa yaendelea.
Mnyetishaji wa tetesi hii anadai, muungwana atoa sharti kwa vyama vyote vya upinzani nchini kuweka kando tofuti zao na kuungana ikiwa wanataka mabadiliko ya kweli.
Mnyetishaji ameendelea kueleza kwamba muungwana amejiuzulu ili apate nafasi ya kugombea urais.
Je, atatoboa mbadhirifu huyu mtakatifu wa mali za umma?
una maoni gani?
Mungu Ibariki Tanzania
Yes, atagombea na CHADEMA wote watamuunga mkonoMazungumzo na vyama mbalimbali vya siasa yaendelea.
Mnyetishaji wa tetesi hii anadai, muungwana atoa sharti kwa vyama vyote vya upinzani nchini kuweka kando tofuti zao na kuungana ikiwa wanataka mabadiliko ya kweli.
Mnyetishaji ameendelea kueleza kwamba muungwana amejiuzulu ili apate nafasi ya kugombea urais.
Je, atatoboa mbadhirifu huyu mtakatifu wa mali za umma?
una maoni gani?
Mungu Ibariki Tanzania
Habari ya kuletwa na Tlatlaah nitakuwa wa mwisho,kuithibitisha hiyo habari.Mazungumzo na vyama mbalimbali vya siasa yaendelea.
Mnyetishaji wa tetesi hii anadai, muungwana atoa sharti kwa vyama vyote vya upinzani nchini kuweka kando tofuti zao na kuungana ikiwa wanataka mabadiliko ya kweli.
Mnyetishaji ameendelea kueleza kwamba muungwana amejiuzulu ili apate nafasi ya kugombea urais.
Je, atatoboa mbadhirifu huyu mtakatifu wa mali za umma?
una maoni gani?
Mungu Ibariki Tanzania
Muhuni asiye na mke wala mchumba agombee UraisMazungumzo na vyama mbalimbali vya siasa yaendelea.