GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
yanafarakanaaaaaaaaa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuunga mkono mkuu...corona ingeanza na mtu Kama pole pole ikamalizia na makomeoKumshangaa na Kumkosoa ( Kumrekebisha ) Mtu ndiyo Kufarakana huko Mkuu? Kuna Watu ni Wapumbavu na sijui kwanini CORONA imewaacha.
Sasa hapa we we umejenga hojagani?? Polepole anahoja sana hata kina Mnyika walomsumbuaga Nauye hawawezi mjadala nae!!Kumshangaa na Kumkosoa ( Kumrekebisha ) Mtu ndiyo Kufarakana huko Mkuu? Kuna Watu ni Wapumbavu na sijui kwanini CORONA imewaacha.
Si Kama ilivyomwacha magu na Mr slowKumshangaa na Kumkosoa ( Kumrekebisha ) Mtu ndiyo Kufarakana huko Mkuu? Kuna Watu ni Wapumbavu na sijui kwanini CORONA imewaacha.
Ccm is a group of wajingasTatizo la athari zitokanazo na akili za kimaskini, hata vitu vya kawaida kabisa huonekana kuwa ni anasa. Kuna vikao muhimu sana vyenye kuwalazimu viongozi kutoka nchi mbalimbali duniani kukutana.
Huyu wa kwetu kukwepa kwenda nje ni kutaka kuficha madhaifu yake wala si kuwapenda maskini. Sasa hayo madege ambayo ameyanunua tena kinyume hata na taratibu za manunuzi ya vitu vya umma, huo ujasiri na uadilifu wa kuhalalisha kusema hivyo unatoka wapi!
Mkuu kero za watanzania hazitatuliwi na ziara za Rais,mtu anaye tekeleza budget kwa wastani wa 34% hiyo nchi anaijenga na Nini?Sasa hapa we we umejenga hojagani?? Polepole anahoja sana hata kina Mnyika walomsumbuaga Nauye hawawezi mjadala nae!!
Unasahau mkapa alijinunulia ndege kutafuta maraha?? Umesahau masafari ya nje ya kikwete gang? Huyu hashobokei wazungu!! Anajenga nchi na anazunguka kutatua shida za watu on the ground huko hewani atasimamishwa nanani atatue kero zao? Msipingepinge kilajambo mpemtu sifa anayostahili
Sasa hapa we we umejenga hojagani?? Polepole anahoja sana hata kina Mnyika walomsumbuaga Nauye hawawezi mjadala nae!!

Acha ujinga, nani kwakwambia rais ni taasisi? Kuna rais na kuna ofisi ya rais.Unachosahau ni kwamba Rais ni TAASISI, yeye kama JPM kutokwenda nje haina maana Rais hafiki nje. Balozi, Wizara ya Mambo ya Nje na wasaidizi wote wanao fanya kazi nje huko wanafanya kwa niaba ya TAASISI ya Urais. Ndiyo maana alisema kuna haja gani yeye personally kuzunguka nje ikiwa kuna Balozi na Wizara ya foreign affairs!
Nafikiri tuwe na mjadala wa kupima IMPACTS kwa yeye personal kutokwenda nje kama Rais, tujue gharama za kifedha tulizo okoa zina faida kiasi gani kulinganisha na faida Taifa lingepata kwa yeye kwenda nje katika jicho la kidiplomasia.
Rais ni MTU ambaye anafanya kazi ndani ya TAASISI ya Urais,hiyo ofisi ya Rais ni sehemu ya taasisi kama zilivyo ofisi za watendaji wake ndani ya TAASISI.Acha ujinga, nani kwakwambia rais ni taasisi? Kuna rais na kuna ofisi ya rais.
Hakuna taasisi ya Urais, kuna taasisi ya ofisi ya rais.Rais ni MTU ambaye anafanya kazi ndani ya TAASISI ya Urais,hiyo ofisi ya Rais ni sehemu ya taasisi kama zilivyo ofisi za watendaji wake ndani ya TAASISI.
Tatizo hawezi kijieleza kwa kimalkia, hivyo anaona aibu ya kujidhalilisha. Heri nusu shari kuliko shari kamili.Sasa hapa we we umejenga hojagani?? Polepole anahoja sana hata kina Mnyika walomsumbuaga Nauye hawawezi mjadala nae!!