Polepole Leo vaa T-shirt ya Chama [nje-ndani]

Katika Press ya Leo. Vaa T-shirt ya Chama (nje-ndani) kuonyesha msisitizo. Usisahau kuvaa usongo kichwani.

Kwa wasiojua usongo; usongo
Nomino
Isiyohesabika
1. ni kitambaa chembamba kinachovaliwa kuzunguka upande wa juu wa kichwa.
2. usongo huonesha umakini wa jambo unalolifanya.
3. Usongo huvaliwa na stelingi muongoza mapambano dhidi ya maadui ktk movie zilizotafsriwa na Lufufu Mkandara miaka ya 90 hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000.
4. Usongo ni haja,/dhima/moyo wa kufanya jambo
5. Kitambaa chembamba kivaliwacho kuzunguka kichwa na Wajapani na Wachina wakati wa ibada za miungu yao

Kitenzi
Pania jambo fulani
 
Umenikumbusha movie za kivetnam

Ova
 
Pesa inaliwa kama vile hapakua na Watu kabla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…