Polepole, Mangula na wengine; wakati ndio huu

Kinahitajika chama chenye sura ya kitaifa. Opposition parties zilizopo hazina sura ya kitaifa!
 
Mapendekezo yako ni mazuri sana, ila katiba ya haya mapendekezo yako inaweza kupatikana iwapo machafuko yatatokea, au kama katiba itaandikwa kukiwa na wabunge balanced wa makundi yote, na sio 70%+ kuwa CCM.
 
Kinahitajika chama chenye sura ya kitaifa. Opposition parties zilizopo hazina sura ya kitaifa!
Ccm wenyewe watakuwa wanakiangalia tu kinakua!! Hivi unawajua ccm wewe. Kitatandikwa mabomu several times uone Kama hakidhoofiki hata mwaka haujaisha. Hakuna chama kinachoanza na nzi nzima lazima kianze na watu wachache. Sasa hao wachache ndo wataletewa mizengwe na kubambikiwa kesi za kila aina ili tu waunge juhudi na kinakuwa kimeishia hapo.
 
Kinahitajika chama chenye sura ya kitaifa. Opposition parties zilizopo hazina sura ya kitaifa!
Hakuna chama kinachoanza na wanachama nchi nzima lazima kianze na wachache wanaotoka location flani hakuna wanaodondoka kutoka mbinguni. What you are talking is theoretical.
 
Mapendekezo yako ni mazuri sana, ila katiba ya haya mapendekezo yako inaweza kupatikana iwapo machafuko yatatokea, au kama katiba itaandikwa kukiwa na wabunge balanced wa makundi yote, na sio 70%+ kuwa CCM.
Kwamba bila kutembezeana kichapo mapendekezo yatapuuzwa tu!😅
Nchi ngumu sana hii
 
Mkuu nguvu itatoka wp bila support ya wenyenchi? Wananchi hawako tayari kwa hayo mabadiliko unayoyataka. Siku wakiwa tayari ata wewe bila Chama unaweza kuleta mabadiliko
 
Mkuu nguvu itatoka wp bila support ya wenyenchi? Wananchi hawako tayari kwa hayo mabadiliko unayoyataka. Siku wakiwa tayari ata wewe bila Chama unaweza kuleta mabadiliko
Kweli mkuu , sisi nI WATANZWA- NIA, utayari hakuna kabisa hata tupatwe na nini nchi hii,
 
Kinahitajika chama chenye sura ya kitaifa. Opposition parties zilizopo hazina sura ya kitaifa!
Chadaema yenyewe kufika hapa ilipo tu ccm wanajuta Sana kuichia mpaka ikasambaa nchi nzima. Chama kingine kikianzishwa ccm hawawezi kukiruhusu kusambaza kitapigwa mabomu tu. Muulize membe alivyohamia act tu au lowasa ndo utajua ccm Ni Mafia Sana. Sema chadema kimeshakua Sana no way ccm hawawezi kidhibiti Tena. Watatumia polisi kukataza na kupiga mabomu mikutano yao lakini ipo siku polisi watafurushwa na risasi zao ndo wajue chadema Ni Moto wa kuotea mbali
 
Hakuna chama kinachoanza na wanachama nchi nzima lazima kianze na wachache wanaotoka location flani hakuna wanaodondoka kutoka mbinguni. What you are talking is theoretical.
Once the exceptional happens ndio tutakaposhangaa wote, tofauti na tulivyokariri,
 
Wakisoma hii na wakikuelewa basi waunge mkono harakati za katiba mpya. Nje ya hapo, ushauri wako ni kama unataka kuwalaza njaa.
 
Mtambue kama Rais wa Sita tu, inatosha huo mjadala wenu awamu ni wa watu wenye akili ndogo wanaopenda kujikita kwenye petty issues.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…