Polepole, Mangula na wengine; wakati ndio huu

chadema hakifai hata kuongoza vikoba kila ikifika miaka 5 mnajipa moyo mtachukua uongozi viongozi wenyewe wako wapi chama kinashupalia mambo ya dimond utafikiri chama cha wanamuziki
 
Anza kwanza na Katiba mpya kisha tume huru ya Uchaguzi.
Kweli kabisa. Chama chenye uwezo, tena mkubwa tu wa kuunda serikali, na kuiongoza nchi hii katika misingi ya haki na amani kimekweishazaliwa nacho ni chadema.

CDM hawajawahi kushindwa uchaguzi khalali kisheria bali kwa ghilba na uzindaki wa Tume ya Uchaguzi ikishirikiana na mifumo mibovu na kandamizi ya dola.

Embu tuwekeni mfumo khalali wa kikatiba na kupitia hiyo katiba ccm na cdm wasimame head to head halafu ccm wakipata hata asilimia 25 ya kura nipigeni makofi mfulilizo kuanzia asubuh hadi jion.
 
CDM, kwa mfano, ina umri wa miaka takribani 30, lakini national leadership yake imebaki kuwa highly concentrated mahali pamoja! WTF? Opposition parties zingine pia zina shida kama hiyo.
Kumbe Kama ndivyo kwa nini mnaogopa chama dhaifu kisicho hata na sura ya kitaifa?!!! Tuweke katiba mpya na Tume huru tuingie uwanjani.

Haiwezekani Refa achaguliwe na GSM, alipwe na GSM Yeye na marefa wasaidizi wote, kin karia wote wateuliwe nankupiwa na GSM halafu eti utegemee kombe liende msimbazi!!!!! Kama si uchuro huo ni nini??!!

Kama ccm vidume kweli tuweke vyombo huru vya kusimamia uchaguzi afu gemu lipigwe kama hamjanyolewa hata 10 kwa yai.
 
Tatizo wanaongea sasa baada ulaji wao na maviete kuondoka. Wakati wa ulaji walimpinga kila aliyeongea
 
Mangula sooon wana mchomoa kwenye icho cheo
 

Hoja iliyoko mezani umeisoma na kuielewa?
 
Nadhani haya mambo ya chama tuache, tuje na mfumo mpya ambao unaletwa na Katiba...Kwakuanzia tuanze na hiyo tume huru kisha tuwe na clauses za kuunda serikali ya kitaifa itakayopigiwa kura kama "transitional government" na kisha hiyo serikali ya tume huru ipangiwe muda fixed say 2025-30& wa kuja na katiba mpya kisha wao wa dissolve kuachia vyama sasa ambavyo vyote vitapambana kwa haki bila kujali kama ni tawala au kipya ila viwe na itikadi zinazotofautiana...

Hao wa serikali ya mpito wasiruhusiwe kuwa wagombea tena na wala wasiwe kwenye chama chochote hiyo ndiyo itakuwa anchor ya tume huru na watakuwa ndiyo advisory board ya tume ambayo itakuwa na watu ambao hawatafungamana na chama chochote bali kuangalia core values za taifa badala ya kuwa na watu...

Chamsingi katiba ieleze hao pioneers wa hiyo board ambao ndiyo interim government Katiba mpya iweke misingi ya utumishi wao sambamba na tume huru ya uchaguzi na wasiruhusiwe kuingilia serikali wakati wa utawala bali role yao inakuwa wakati tu wa chaguzi; hii ita replace indiciduals waliokuwa wanatu moderate kama wazee wetu wa asisi wa CCM akiwemo Baba wa Taifa etc....
 
Mangula sooon wana mchomoa kwenye icho cheo
Ndipo kiama kitakapoanzia....


Niwaambie tu mwanzo wa ngoma ni lele...Watanzania siyo kama mnavyotufikiria...Mtawapa wapinzani nchi kirahisi mno na kwakua wao walishajifungamanisha na watu wenye interest zao italeta shida kwa taifa...Hii equation kuna sehemu huko nyuma nilisema ni very complex asijedhani mtu kuwa its just as simple as they would wish....

Naiombea amani nchi yangu Tanzania; I am lucky I know the end before the beggining!
 
Tatizo ni uanachama hivyo misingi ya Chama chake. Kolimba angezungumza aliyozungumza akiwa ndani ya Chama chake hakuna shida, Kadhalika Membe, Nchimbi, Sophia Simba n.k orodha ni ndefu.

Hicho ndicho kinachomgharimu Polepole leo na asipopata hekima mapema anakoelekea yatamkuta makubwa zaidi.

Aachane na kichaka kinachoitwa ubunge wa taifa, hakuna kitu kama hicho, huo ubunge unafanya kazi bungeni tu tena nako huko Chama chake kina taratibu zake.

Namshauri Polepole kama hawezi kunyamaza na kutumia patform za Chama chake basi apige chini uanachama hivyo ubunge pia awe mwanaharakati huru. Ahadi ya kusema kweli daima ni ndani ya taratibu za Chama chake, vinginevyo he is doing a grave mistake which is a greatest mistake in politics.
 
Reactions: Ame
CDM, kwa mfano, ina umri wa miaka takribani 30, lakini national leadership yake imebaki kuwa highly concentrated mahali pamoja! WTF? Opposition parties zingine pia zina shida kama hiyo.
Nimeamua kuwa mkweli kwa nchi yangu; unachosema ni kweli though as other Africans truth scares us so much....

Kuna vyama vinakuwa perceived kama vya kikanda na kuna vingine kama vina vi nasaba vya kidini things which are not good for national alliance....CCM kama siyo state capture ndicho pekee ambacho kina utaifa ndani mwake....

Ninapiga magoti na ninauhakika Mungu anajibu, taifa lina hitaji neutral minds siyo hizi za ki maslahi ndani ya chama kilichopo na hivyo vikundi huko upinzani....Bado hao ambao wamebeba a neutral mind wamo kwenye Chama Tawala zaidi; walio nje ni vijana ambao wengine ni wazalendo ila wakavutwa na makundi yao...Vijana ambao wapo critical na ambao kweli wangelipeleka taifa hili level nyingine hawana platform yeyote but wanaangalia wapi mwenye mrengo unaofanana na desire yao wanamfuata huko; hao wengi wao waliondoka CDM 2014/15 kwa sasa hawajui waelekee wapi.
 
He has a problem of prisoners dilemma....Hana institutional power itakayo mpa mileage anayo i enjoy, unfortunately opponents wake wanafahamu hilo ila kuna sehemu hawajui wanateremkia shimoni; ....Mungu si Athumani aiache nchi yetu bila msaada kwa watu wenye ulterior motives...I have a word which creates! So I am confident, Tanzania itashinda na siyo individuals; kila mwenye lengo na dhamira mbaya atashindwa tena kwakuumbuka sana sana...Just mark my words...
 
Naiona Tanzania mpya ya sura yoyote ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…