William Mshumbusi JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 1,761 Reaction score 2,391 Sep 4, 2021 #1 Swala la Gwajima NI wazi kuwa CCM hawana la kufanya zaidi ya kuwatisha tu. Kwani wakiwavua uanachama wataamsha hoja ya akina mdee. Acha Wawavimbie tu
Swala la Gwajima NI wazi kuwa CCM hawana la kufanya zaidi ya kuwatisha tu. Kwani wakiwavua uanachama wataamsha hoja ya akina mdee. Acha Wawavimbie tu
mmh JF-Expert Member Joined Nov 9, 2010 Posts 2,910 Reaction score 5,084 Sep 4, 2021 #2 Na wewe unavyohangaika leo hata hujishtukii watu hawashobokei nyuzi zako. Chutama best nyeti ziko peupe.
Na wewe unavyohangaika leo hata hujishtukii watu hawashobokei nyuzi zako. Chutama best nyeti ziko peupe.
N ngebe JF-Expert Member Joined Jun 8, 2020 Posts 1,789 Reaction score 5,117 Sep 4, 2021 #3 hiyo hoja wataiamshia segerea
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 25,190 Reaction score 27,434 Sep 4, 2021 #4 Ngoja nipige zangu pasi nguo za church kesho Sent using Jamii Forums mobile app
U ubarinolutu JF-Expert Member Joined Oct 22, 2012 Posts 2,424 Reaction score 4,954 Sep 4, 2021 #5 Huyo ndugai kwani anajali Hilo huwa anajua kujitoa ufahamu, atawafukuza tu akiamua, yule dingi Ana jalada mirembe
Huyo ndugai kwani anajali Hilo huwa anajua kujitoa ufahamu, atawafukuza tu akiamua, yule dingi Ana jalada mirembe
thetallest JF-Expert Member Joined Oct 21, 2017 Posts 8,271 Reaction score 9,113 Sep 4, 2021 #6 William Mshumbusi said: Swala la Gwajima NI wazi kuwa CCM hawana la kufanya zaidi ya kuwatisha tu. Kwani wakiwavua uanachama wataamsha hoja ya akina mdee. Acha Wawavimbie tu Click to expand... Nyuzi ya kindezi sana hii ,utakuwa "KE" wewe
William Mshumbusi said: Swala la Gwajima NI wazi kuwa CCM hawana la kufanya zaidi ya kuwatisha tu. Kwani wakiwavua uanachama wataamsha hoja ya akina mdee. Acha Wawavimbie tu Click to expand... Nyuzi ya kindezi sana hii ,utakuwa "KE" wewe
R Rasterman JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 33,894 Reaction score 44,117 Sep 4, 2021 #7 William Mshumbusi said: Swala la Gwajima NI wazi kuwa CCM hawana la kufanya zaidi ya kuwatisha tu. Kwani wakiwavua uanachama wataamsha hoja ya akina mdee. Acha Wawavimbie tu Click to expand... Ndani ya CCM hakuna mwenye ubavu wa kumkoromea mwenzake. Wote wapo kiharamu. Mwiaho wa siku wote wanaamua kuacha yaishe😅😅
William Mshumbusi said: Swala la Gwajima NI wazi kuwa CCM hawana la kufanya zaidi ya kuwatisha tu. Kwani wakiwavua uanachama wataamsha hoja ya akina mdee. Acha Wawavimbie tu Click to expand... Ndani ya CCM hakuna mwenye ubavu wa kumkoromea mwenzake. Wote wapo kiharamu. Mwiaho wa siku wote wanaamua kuacha yaishe😅😅
R Rasterman JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 33,894 Reaction score 44,117 Sep 4, 2021 #8 thetallest said: Nyuzi ya kindezi sana hii ,utakuwa "KE" wewe Click to expand... Nyuzi iko poa. Ndani ya ccm hakuna mwenye uwezo wa kusema "Su' kwa mwenzake maana hakuna aliyeko hapo kihalali. Mwisho wa siku huyo Ndugai ataufyata tu.
thetallest said: Nyuzi ya kindezi sana hii ,utakuwa "KE" wewe Click to expand... Nyuzi iko poa. Ndani ya ccm hakuna mwenye uwezo wa kusema "Su' kwa mwenzake maana hakuna aliyeko hapo kihalali. Mwisho wa siku huyo Ndugai ataufyata tu.
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,717 Reaction score 13,176 Sep 4, 2021 #9 Wamebaki wanaona haya tu Nalog off