Polepole tunae na tunatamba nae.POLEPOLE NA UONGO USIO NA USHAHIDI
Kuhusu swala la Polepole kusema kwamba kwenye mradi wa bwawa la JNHPP kuna ubadhilifu wa pesa, hilo ni uongo kwa sababu zifuatazo:
1. Mradi wa JNHPP ni mradi wa kimkakati ambao ulikuwa ndoto ya viongozi waliopita na huu ni mradi ambao umeenda kutatua tatizo la umeme kwa Watanzania. Pia ni mradi ambao uliidhinishwa na Bunge/Serikali kwa ujumla.
2. Swala la ubadhilifu wa pesa ni la uongo kwa sababu kila pesa inayotoka kwenda kwenye mradi huwa ni lazima iidhinishwe na Bunge. Kama kutakuwa na ubadhilifu wa pesa, ripoti ya CAG ndiyo huwa inakuja kusema hayo. Je, ripoti ya CAG iliyaona hayo? Ikiwa haikuyaona, basi Polepole naye atakuwa miongoni mwa wapigaji hao anaowataja.
3. Wakati huo Polepole alikuwa ni Mwenezi wa Chama, nafasi ambayo ilimpa wajibu wa kuunga mkono na kusimamia utekelezaji wa miradi ya Serikali. Kama kweli aliona kuna tatizo, kwa nini hakulitolea maelezo akiwa ndani ya mfumo? Kwa nini asubiri leo aje na tuhuma zisizo na ushahidi?
Hapo ndipo inakuja hoja ya kusema kuwa Polepole amekuja kuichafua Serikali ya Awamu hii baada ya kuona hajatimiza majukumu yake ipasavyo na kutekwa na mabepari wa nje kwa kulipwa fedha nyingi.
Kama huna cha kuandikia nyamaza kuliko kujizalilishaPOLEPOLE NA UONGO USIO NA USHAHIDI

POLEPOLE NA UONGO USIO NA USHAHIDI

Duh! Aisee.Umeandika gazeti ila lote pumba tu

wewe ni Kamwaga au umeenda Egyptian embassy tayari kuulizia bei? Selfie yako iko wapi?POLEPOLE NA UONGO USIO NA USHAHIDI
Kuhusu swala la Polepole kusema kwamba kwenye mradi wa bwawa la JNHPP kuna ubadhilifu wa pesa, hilo ni uongo kwa sababu zifuatazo:
1. Mradi wa JNHPP ni mradi wa kimkakati ambao ulikuwa ndoto ya viongozi waliopita na huu ni mradi ambao umeenda kutatua tatizo la umeme kwa Watanzania. Pia ni mradi ambao uliidhinishwa na Bunge/Serikali kwa ujumla.
2. Swala la ubadhilifu wa pesa ni la uongo kwa sababu kila pesa inayotoka kwenda kwenye mradi huwa ni lazima iidhinishwe na Bunge. Kama kutakuwa na ubadhilifu wa pesa, ripoti ya CAG ndiyo huwa inakuja kusema hayo. Je, ripoti ya CAG iliyaona hayo? Ikiwa haikuyaona, basi Polepole naye atakuwa miongoni mwa wapigaji hao anaowataja.
3. Wakati huo Polepole alikuwa ni Mwenezi wa Chama, nafasi ambayo ilimpa wajibu wa kuunga mkono na kusimamia utekelezaji wa miradi ya Serikali. Kama kweli aliona kuna tatizo, kwa nini hakulitolea maelezo akiwa ndani ya mfumo? Kwa nini asubiri leo aje na tuhuma zisizo na ushahidi?
Hapo ndipo inakuja hoja ya kusema kuwa Polepole amekuja kuichafua Serikali ya Awamu hii baada ya kuona hajatimiza majukumu yake ipasavyo na kutekwa na mabepari wa nje kwa kulipwa fedha nyingi.
Wewe ndiye jinga kabisa. Unavyomuona Polepole Kuna elements za ubepari ndani yake? Huko kwa mafisiemu hakuna wa kujibu nondo zake sana sana kwa haya mnayoandika humu mkidhani mnamfubaza, ndio kwanza hoja zake zinaonekana kuwa ni za kweli 100%.POLEPOLE NA UONGO USIO NA USHAHIDI
Kuhusu swala la Polepole kusema kwamba kwenye mradi wa bwawa la JNHPP kuna ubadhilifu wa pesa, hilo ni uongo kwa sababu zifuatazo:
1. Mradi wa JNHPP ni mradi wa kimkakati ambao ulikuwa ndoto ya viongozi waliopita na huu ni mradi ambao umeenda kutatua tatizo la umeme kwa Watanzania. Pia ni mradi ambao uliidhinishwa na Bunge/Serikali kwa ujumla.
2. Swala la ubadhilifu wa pesa ni la uongo kwa sababu kila pesa inayotoka kwenda kwenye mradi huwa ni lazima iidhinishwe na Bunge. Kama kutakuwa na ubadhilifu wa pesa, ripoti ya CAG ndiyo huwa inakuja kusema hayo. Je, ripoti ya CAG iliyaona hayo? Ikiwa haikuyaona, basi Polepole naye atakuwa miongoni mwa wapigaji hao anaowataja.
3. Wakati huo Polepole alikuwa ni Mwenezi wa Chama, nafasi ambayo ilimpa wajibu wa kuunga mkono na kusimamia utekelezaji wa miradi ya Serikali. Kama kweli aliona kuna tatizo, kwa nini hakulitolea maelezo akiwa ndani ya mfumo? Kwa nini asubiri leo aje na tuhuma zisizo na ushahidi?
Hapo ndipo inakuja hoja ya kusema kuwa Polepole amekuja kuichafua Serikali ya Awamu hii baada ya kuona hajatimiza majukumu yake ipasavyo na kutekwa na mabepari wa nje kwa kulipwa fedha nyingi.
PPOLEPOLE NA UONGO USIO NA USHAHIDI

Polepole ni uongo San anatumia nafasi ya kutoka wenye nafasi yake ili kuifitinisha serikali na wanachii
Pole pole Hana inshuPolepole tunae na tunatamba nae.
Hoja zipi zenye mashiko? Kuicjafua serikali no kitu kizuri. Tumia angalau sek. Kuchemsha Hilo bongo lako ufikilie vzuriWewe ndiye jinga kabisa. Unavyomuona Polepole Kuna elements za ubepari ndani yake? Huko kwa mafisiemu hakuna wa kujibu nondo zake sana sana kwa haya mnayoandika humu mkidhani mnamfubaza, ndio kwanza hoja zake zinaonekana kuwa ni za kweli 100%.
Wewe endelea kumbeza, lakini gari lilishashika Kasi na breki halina, ni kanyaga mafuta twende mbele, wahuni watafutane!