Je kama PLPL aliamua kutembea na haya uliyoandika? Kwani yeye hasomi mitandaoni yote yanayoandikwa?Huyo mzee anayekuwa anapeleka bahasha nilimjua kwa jina si vema kutaja alitumwa na nani ! I
Niliandika Twitter
Pitia ππΎ
View attachment 3436089
Nadhani ni rahisi zaidi kunaswa kama unajua unawindwa actively.Sasa ilishindikana vipi kumlinda JPM ikiwa walikuwa wana plot mchongo walikuwa wanafahamika??
Kivip?who aliko janabi ndiyo waliomuondoa, who ni evil communist organization hata D.Trump ameiondoa USA, kulikuwa na tetesi kwamba Magu alikuwa mbioni kuiondoa tanzagiza who, btw USA, Argentina na wengineo wameshajitoa who hata italia iko mbioni kujitoa β¦
Kivip?
Au aliandika ukweli wote halafu watekelezaji waka-improvise, au better yet, watekeleZWAji wengine wakakwepa mishale!Mbona kama ramli mchongo,yani unaandika mambo mengi ambayo unahisi kuna posibility ya lolote kutokea,ilinlolote kama litatokea unasema ni wewe ulitabiri
Ilitazamiwa watabadilika...! Kwa mujibu wa HPSasa ilishindikana vipi kumlinda JPM ikiwa walikuwa wana plot mchongo walikuwa wanafahamika??
Watu walipitia corona kufanya yaocorona, arrrghh is too complicated β¦
Inashangaza sana..Sasa ilishindikana vipi kumlinda JPM ikiwa walikuwa wana plot mchongo walikuwa wanafahamika??
Watu walipitia corona kufanya yao
Tupatie tabiri moja kuelekea october 2025 ili tupone mioyo yetu inayobubujikwa na machozi.Huyo mzee anayekuwa anapeleka bahasha nilimjua kwa jina si vema kutaja alitumwa na nani ! I
Niliandika Twitter
Pitia ππΎ
View attachment 3436089
Pole pole kumbe amekunukuu bila appreciationHuyo mzee anayekuwa anapeleka bahasha nilimjua kwa jina si vema kutaja alitumwa na nani ! I
Niliandika Twitter
Pitia ππΎ
View attachment 3436089
Ni kama kusema Mwaka huu Watazaliwa watoto wengi lakini pia wengi watakufaMbona kama ramli mchongo,yani unaandika mambo mengi ambayo unahisi kuna posibility ya lolote kutokea,ilinlolote kama litatokea unasema ni wewe ulitabiri
Huyo ni Tapeli tuNaona unataka kulazimisha mengi ya utabiri wako ambao mwingi umegeuka kuwa si kweli.