GE2025 Polepole ni Mkweli. Mimi (Britanicca) Mwezi wa Kwanza 2021 nilisema hili

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Shirika la afya lenye dhamana ya kulinda uhai?

We're doomed!
 
uchaguzi wa 2020 ,,, ushindi wa kishindo cha wabunge wa ccm -- ni kazi ya mtandao au magu?
 
Hata waandamizi wa tisi waliokuwa wazalendo walikufa wengi sana tena wengi mno, yaani wale tisi wote ambao hawakuwa kwenye payroll ya wana mtandao waliuawa. So huwezi sema eti Dkt Magufuli alikuwa anaagizia eti wauawe.
...Ina maana 'vyombo' vya usalama vilishindwa kuwashughulikia hao wauaji ?
 
Reactions: Lax
Aliyewaua ni nani?...Ina maana 'vyombo' vya usalama vilishindwa kuwashughulikia hao wauaji ?
alafu wanategemea movement ya polepole ilete mabadiliko -- kama hao wanamtandao wana uwezo huo , madaraka ni mpaka wachoke wao
 
uchaguzi wa 2020 ,,, ushindi wa kishindo cha wabunge wa ccm -- ni kazi ya mtandao au magu?
Upande wa wabunge fujo ila urais ilikuwa Magu mwenyewe
 
Sasa ilishindikana vipi kumlinda JPM ikiwa walikuwa wana plot mchongo walikuwa wanafahamika??
Ni kama hujamsikiliza na kumwelewa vyema Polepole ktk presentations zake, au siyo..?

Anasema, yeye alipozipata taarifa kutoka kwa "informer" au "whistleblower" kuwa kuna mpango unasukwa namba moja kuuwawa, alimtaarifu mlengwa yaani Rais Magufuli by then....

Magufuli ni kama alipuuza na hivyo hakuchukua tahadhari wala hatua madhubuti za kuimarisha protocol ya ulinzi na usalama wake na badala yake akasema tumwachie Mungu...

Haina shaka kuwa mtekelezaji wa tendo la kuua alikuwa mtu wa karibu yake sana (inner cycle wake) anayejua kula na kulala kwake vyema kabisa...

Hakutambua kuwa Mungu yupo na anaishi ndani yetu na ametupa mamlaka na nguvu ya kuamuru kuzuia jambo fulani baya kutokea au kulifanya jambo fulani zuri litokee...

Jamaa wakaendelea na plotting yao hadi wakafanikiwa. The rest is history...

Leo haohao wanamlia timing ya kitaalamu huyu mama wakimpeleka taratibu kulekule alikoenda Magufuli lakini ktk mtindo au style unique kidogo...

Wamejiguleuza kama malaika walinzi wanaompenda na kumpigia mapambio ya kumtukuza na kumsifu lakini kumbe ni kama kuku adanganyavyo na punje za mahindi kumbe mfugaji anakuwa ana kisu cha kuchinjia mkononi mwake...

Shauri lake. Kaambiwa sana. Kapewa kila aina ya ishara lakini anaonekana ni kichwa ngumu, jeuri, kiburi lasitambue kuwa, anaisogelea mauti yake taratibu...!!
 
Kama nadharia yako ni sahihi, unadhani ana power ya kujinasua?

Unajua jinsi laverage na blackmail zinavyofanikisha kirahisi matakwa yao hata kama mhusika mwenyewe hayuko radhi?

^Usipofanya hivi, sisi tutafanya yetu.^

Polepole mwenyewe anadai Job Ndugai alilazimishwa kujiuzulu.

Kwa nn kwa muktadha huo tusiamini kwamba huyu aliyepo anaweza kuzuiwa asitekeleze huo ushauri wa Polepole?

Call it State Capture.
 
Unaweza kuwa kwenye pipeline ya information shida yako kuu ni Moja unapenda sana Publicity, Sasa inakusaidia nini Ile Hali ID yenyewe ni anonymous
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…