figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Perish the thought.Baddo naamini Balozi Humphrey Herson Polepole soon atakuwa Uraiani
Chanzo cha taarifa?Kaka wa Polepole kadai kwamba Polepole ni Mzima ila anaumwa.
Kwangu Mimi kusikia Polepole ni mzima hata kama anaumwa ni faraja kubwa.
Uchaguzi umeisha.
Namuomba Samia Amuachie huru.
Baddo naamini Balozi Humphrey Herson Polepole soon atakuwa Uraiani
Si kaka yake jamaa kaandika hapo juu tajiri?Chanzo cha taarifa?