GE2025 Polepole: Nilivamiwa na Majambazi 15 wenye Silaha, niliposali Sala fupi wakaondoka

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
watanzania wamezizoea siasa kama mwanamke mwenye mume mwenye maumbile makubwa alivyomzoea mumewe!
Toka enzi za baba wa taifa, watanzania wamekuwa wakiuziwa mbuzi kwenye gunia na wanasiasa kiasi sasa wanaita siasa 'SI-HASA'!
WANAOHAMASISHA FUJO ZA KISIASA WANA KIBARUA BONGO!
... CHONDECHONDE, MSISEME WATU HATUJITAMBUI AU TUNAHITAJI ELIMU YA URAIA MAANA TUNAYO SANA NA IMEPITILIZA!
 
Hii inachukua nafasi ya pili ya kwanza ni ya yule mchungaji aliyejaza mtungi wa gesi kwa mdomo.
Wavimba macho huyo ni tegemeo lao waliokuwa wakimpa viewing time.
 
Leo rasmi naanza kumwona huyu kijana wa MAGU ashakuwa Magumashi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…