Kama alikuwa nchini ni jambo la ajabu sana. Yeye ni mtu maarufu, anajulikana. Labda alihakikishiwa na watu wazito atalindwa.
Kama ni hivyo Labda ndio pona yake kuuwawa. Hao wazito watashinikiza angalau afikishwe mahakamani kama ana kosa lolote.
Wananchi wote kwa pamoja inabidi tukatae huu uhuni kwa njia yoyote ile. Kesho inaweza kuwa zamu yako kutekwa kwa sababu yoyote ile iwe kutoa maoni, sababu ya kisiasa, mjengo, kiwanja chako kama Abdul na Samia wanakikitaka nk.
Hii nchi haiko mbali na machafuko kwa mwendo huu.