Polepole Sasa anatembea kwa kujificha sura, anavaa makofia makubwa na masweta ya P.O.P, anaogopa kuzomewa?

Sasa hii si selfie ya kawaida kabisa kaamua kujipiga.
Wapi hapo alipovaa masweta na makofia makubwa..Nyie ndy huwa mnaandika Kule utube 'CHATU AMEZA TRENI NA ABIRIA WAKE NDANI'.Fungua sasa uangalie jinsi TRENI ilivyomezwa,ushubwada mtupu
 
Pigo zake hizo na ni kawaida bado hukamkuta kavaa makofia yale ya arusha na makoti mazito hata ukipishana nae unaweza usimtambue.

Huyu mleta mada kakurupuka kuanzisha uzi..
Yote ni ubatili mtupu, asema mfalme Suleiman.
 
Jamaa ndo kajipiga selfie wewe unasema anajificha ficha.
 
Tisa kumi mkubali anawapelekea moto kwelikweli..
Labda nyie wanafunzi wake wa shule ya uongozi hapo Lumumba ndo mnaona huo moto. Short of that huyo mzee wenu ni mwepesi kama bua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…