Mkuu uelewa wako unazidi kiiwa mdogo zaidi.Huoni wamekupiga chenga ya mwili?
Kwamba majina yatatumwa Dodoma na si lazima walioshinda kura za maoni ndio wapigiwe kura. They can come with their names ...particularly Menyekiti,katibu...It seems wameona machawa yao wametupwa wanatafuta namna ya kuya salvage1
Tunaomba maoni yako....
ila Mungu huwa na njia moja tu kumwangamiza.Shetani ana mbinu 49 za kufanikisha jambo lake
Kimsingi hata haya mabadiliko ya katiba hayawezi kutumika kwa uchaguzi huu 2025 ambapo tayari mchakato ulishaanza na upo katikati, hivyo ni madiliko batili kwa matumizi ya uchaguzi wa 2025. Huwezi badili sheria na hizo sheria zikaanza kutumika kwa kesi ambazo tayari zipo mahakamani.Huoni wamekupiga chenga ya mwili?