Johnson Alex Otieno
Senior Member
- Mar 14, 2013
- 176
- 62
Jeshini Nako Kuna Wana mtandaoMakotopora? Unamaanisha jeshini?
Inawezekana maana mwanamtandao mkubwa alikuwa na cheo kikubwa kuleJeshini Nako Kuna Wana mtandao
Kaka mkubwa nakuandikia usiku wa Leo.
Umetumikia Taifa sana ngazi zote mpaka ubalozi huko Cuba na Nchi za carribiane.
Umechelewa sana kufanya maamzi kaka mkubwa,Leo unashindana na Wana mtandao ambao tayari wana
mizizi nchi nzima.
Unawezaje kushinda hii nguvu ya wahuni na ukawa Salama kaka polepole.
Tunaogoa kutekwa sisi na familia zetu.Kama unaweza kutulinda tuambie haraka na tutaambatana nawe.
Tuungane kujenga nchi yetu pendwa,Tanganyika kwanza,Tanganyika kwa watanganyika .
naam, japo tetesi inategemea na source, tetesi nilizokua nazo mwanzo mpaka sasa zishachana mkekaMakotopora? Unamaanisha jeshini?
Inawezekana maana mhuni mkubwa alishawahi kuwa cheo kikubwa hukonaam, japo tetesi inategemea na source, tetesi nilizokua nazo mwanzo mpaka sasa zishachana mkeka
nb: tetesi