Dah, kwa mawazo haya,Kwanini yeye hakujiandaa na kuvamiwa, kutekwa, je aliamini katika kujificha pekee, hakujiandaa kuvamiwa, kakamatwa kindezi saana
Pia angekua ulaya huko bado wangemlaumu kua anachochea vita yeye na familia yake wapo ulaya wanakula bata, kumpiganiia mtanzania ni kazi ngumu sana hata lissu ingekua ndio namshauri ningemwambia aondoke zake aende ulaya kula maisha na familia yake, wabongo sisi ni NYUMBU inatakiwa tuachwe tuburuzwe hadi akili zikae sawa.Dah, kwa mawazo haya,
Tanzania bado sana.
Polepole kakamatwa "kindezi,"
Mdude pia kakamatwa "kindezi,"
Soka, Mzee kidao, n.k
"Wote waliotekwa wametekwa kindezi sana."
Mkuu ungekuwa ni wewe ungejiandaaje labda.?
Maana hawa ni watanzania wanapotea ndani ya nchi yao, and somebody say wamekamatwa kindezi.
Achana nae huyo. Hao ndio wale hawanaga msimamo.Dah, kwa mawazo haya,
Tanzania bado sana.
Polepole kakamatwa "kindezi,"
Mdude pia kakamatwa "kindezi,"
Soka, Mzee kidao, n.k
"Wote waliotekwa wametekwa kindezi sana."
Mkuu ungekuwa ni wewe ungejiandaaje labda.?
Maana hawa ni watanzania wanapotea ndani ya nchi yao, and somebody say wamekamatwa kindezi.
Mkuu ukishakuwa una bifu na serikali unapaswa uwe kamili gado..Dah, kwa mawazo haya,
Tanzania bado sana.
Polepole kakamatwa "kindezi,"
Mdude pia kakamatwa "kindezi,"
Soka, Mzee kidao, n.k
"Wote waliotekwa wametekwa kindezi sana."
Mkuu ungekuwa ni wewe ungejiandaaje labda.?
Maana hawa ni watanzania wanapotea ndani ya nchi yao, and somebody say wamekamatwa kindezi.
Jamaa mim nimemuona mjinga,huwez kusema mambo makubwa hvyo afu ukakaa kipimbi pimbi tu hvyo,ilitakiwa tusikie hata kaua askari mmojaMkuu ukishakuwa una bifu na serikali unapaswa uwe kamili gado..
Kina soka, mdude hawa hawana lawama walikuwa ni wananchi wa kawaida saana kama mimi na wewe, hawana resources za kutosha..
Sasa we unadhani polepole hana pesa za kutengeneza chumba cha siri, unafika unaona kabati la nguo kumbe nyuma yake kuna kamlango, kuwa na nyumba yenye mlango wa siri wa kutokea!? vipi kununua sensors za kumsanua? Kumiliki bunduki, kumiliki miwani ya gizani etc.
Sishangai kukamatwa, ila haikupaswa kuwa rahisi hivi.
"Watu wanatekwa watu wanauawa, watu wanaporwa mali zao kikundi cha watu wachache sana kinajenga ukwasi na utajiri mkubwa na wingi wa fedha kutoka katika vyanzo visivyojulikana ndio wamejaa mjini, mimi naunga mkono matajiri waongezeke lakini kwa njia halali" Aliyewahi kuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba Humphrey Polepole akizungumza kwa njia ya mtandao Septemba 30,2025.
KWANZA KARUDI LINI TANZANIA?! Mimi nilikuwa najua polepole yupo Sweden!Kwanini yeye hakujiandaa na kuvamiwa, kutekwa, je aliamini katika kujificha pekee, hakujiandaa kuvamiwa, kakamatwa kindezi saana
Kwa kweli hata mimi sijui.KWANZA KARUDI LINI TANZANIA?! Mimi nilikuwa najua polepole yupo Sweden!
Sahihi kabisaJamaa mim nimemuona mjinga,huwez kusema mambo makubwa hvyo afu ukakaa kipimbi pimbi tu hvyo,ilitakiwa tusikie hata kaua askari mmoja
Kwani wewe unajua zile damu ni za nani?!Jamaa mim nimemuona mjinga,huwez kusema mambo makubwa hvyo afu ukakaa kipimbi pimbi tu hvyo,ilitakiwa tusikie hata kaua askari mmoja
Halafu nyumba inaonyesha hata kamera za usalama haina!Mkuu ukishakuwa una bifu na serikali unapaswa uwe kamili gado..
Kina soka, mdude hawa hawana lawama walikuwa ni wananchi wa kawaida saana kama mimi na wewe, hawana resources za kutosha..
Sasa we unadhani polepole hana pesa za kutengeneza chumba cha siri, unafika unaona kabati la nguo kumbe nyuma yake kuna kamlango, kuwa na nyumba yenye mlango wa siri wa kutokea!? vipi kununua sensors za kumsanua? Kumiliki bunduki, kumiliki miwani ya gizani etc.
Sishangai kukamatwa, ila haikupaswa kuwa rahisi hivi.
Alitakiwa afanye assumptions zoote, yaani akae ajiulize ikiwa hivi, ikiwa vile je, je wakija hivi, yaani unajikuta mashimo mengi umeyafukiaHalafu nyumba inaonyesha hata kamera za usalama haina!
Yeye aliamini fensi ya umeme akajua hawawezi kuiruka jamaa wakaifyeka wakaingia ndani.
Kama ni kweli jamaa hawezi tumiwa wanafunzi bali itakuwa katumiwa watu wazito ndani ya kitengo ambao hawaulizwi wala kushitakiwa popote kwa kosa lolote linalotokea wanapotekeleza majukumu yao.
Ila swali la uzushi ni kwamba inaonyesha humo ndani alikuwa peke yake KWANINI?!
HANA MKE ?! Au mkewe na watoto kawaacha ulaya?!
Polepole alikuwa kimwili tu na kuishi miaka mingi lakini kiakili bado ni mtoto mdogo!Alitakiwa afanye assumptions zoote, yaani akae ajiulize ikiwa hivi, ikiwa vile je, je wakija hivi, yaani unajikuta mashimo mengi umeyafukia
Kuna vitu hakuvitilia maanani
🤔"Watu wanatekwa watu wanauawa, watu wanaporwa mali zao kikundi cha watu wachache sana kinajenga ukwasi na utajiri mkubwa na wingi wa fedha kutoka katika vyanzo visivyojulikana ndio wamejaa mjini, mimi naunga mkono matajiri waongezeke lakini kwa njia halali" Aliyewahi kuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba Humphrey Polepole akizungumza kwa njia ya mtandao Septemba 30,2025.
Akili za kijinga sana hizi. Mungu tusaidieKwanini yeye hakujiandaa na kuvamiwa, kutekwa, je aliamini katika kujificha pekee, hakujiandaa kuvamiwa, kakamatwa kindezi saana