Police Arusha wananitamani, CCM nao wamenikamia

Hata Daniel Arap Moyi aliwahi kuzabwa kibao na askari kwenye road block tena wakati akiwa ni Makamu wa Rais. Guess what? Siku alipoupata Urais jamaa aliacha kazi mwenyewe na kukimbilia mafichoni. Tanzania siku CCM ikitoka madarakani, nina uhakika maafande wengi watajistaafisha wenyewe.
 
acha ujinga utakufa kweli tatizo lenu mnafanya siasa ugomvi kana kwamba bila siasa hakuna maisha ngoja siku watakapopasua hicho kichwa kwa risasi ndipo utajua kuwa mambo mengine yanahitaji busara siyo ugomvi.
Wee kenge..siasa za chuki nan kamfanyia mwenzake fujo? Sehemu ambako watz wanakufa kati ya wafugaji na wakulima mbona srkl ya mburula ka wewe hawajatatua hayo matatzo?
 
Kamanda wa kuogopwa ni Mungu pekee hao vikaragosi wasikutishe,

Mungu yupo upande wetu, utashinda tunakuombea makamnda wote
 
acha ujinga utakufa kweli tatizo lenu mnafanya siasa ugomvi kana kwamba bila siasa hakuna maisha ngoja siku watakapopasua hicho kichwa kwa risasi ndipo utajua kuwa mambo mengine yanahitaji busara siyo ugomvi.

Hawa jamaa banaaa
 
kamanda hawa wengine si wa kujibizana nao ni machekibobu mafala hawa potezea hao

Aah!huyu kid anaboa,unaweza tafuta kweli cha kumjibu ukakosa lakini ukabaki ukimtamani kwa kila namna hata kumwingiza darsa.Eti chama kipya???Chama kipya cha kigamba??Pambaf zake."Ashakhum Mkubwa".
 
alichosema OCD ni sahihi unakihelehele kisicho na faida kwako hao unaotaka uwapendezeshe hawana shukrani IPO siku watakutupa kama zitto ukajutia mda uliopoteza
 
Kamanda wa kuogopwa ni Mungu pekee hao vikaragosi wasikutishe,

Mungu yupo upande wetu, utashinda tunakuombea makamnda wote

maneno ya nyuma ya keyboard hayo
 
Mateso yakizidi ukombozi umekaribia,pole kamanda Mungu yupo upande wako
 
acha ujinga utakufa kweli tatizo lenu mnafanya siasa ugomvi kana kwamba bila siasa hakuna maisha ngoja siku watakapopasua hicho kichwa kwa risasi ndipo utajua kuwa mambo mengine yanahitaji busara siyo ugomvi.
Mtaua sana, msidhani kama nyinyi ni tofauti na Idd Amin, Samwel Dor, Mobutu na wengine waliokufa vifo vya aibu, mkidhani mtaua tu na nyinyi mtaishi milele mnajidanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…