Wenzako wanaporwa mikoba yao na wewe unaangalia[emoji35] [emoji35] , ungechomoa hata siti upambane nao [emoji4]mimi nimekaa siti ya mwisho kabisa, ila waliokuwa siti za mwanzo wamenyang'anywa mikoba,
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kama Nina mguu wa Kuku, napasua ubongo. Dharau gani hii!!! Yani unanipora halafu hukimbii unatembea!! Inauma sanaYeah, jioni kwenye foleni wanang'oa sana vifaa kwenye magari, kupora simu na mikoba.. Halafu wakishapora wanatembea, wala hawakimbii..
Njoeni mtusaidie kama mnaona ni rahisi kupambana naoNdio maaana mnaitwa wanaume wa dar....
Gari ina watu zaid ya 20 alafu munatikiswa na mateja 10 tena kwa silah ya kisu... Dah.
Kwa kweli muibiwe tu aiseee.... Ikiwezekana wawaingilie tu kabisaa...
Wadau kuna kundi kubwa sana la watu wanapora, yaaaan wanasimamisha gari kma abiria harafu wanapora mikoba, simu huku wakiwa na visu. Vijana wapo zaid ya kumi, yaaan hatari kwakweli.
Police zunguuken mitaa hiyo vibaka wapo wengi sana wanafanya uporaji
Yes mkuu side mirror ya kushoto...Kwanin ulishawahi kuporwa na wew?
Aisee pole mkuu.Yes mkuu side mirror ya kushoto...
[emoji120] [emoji120]Aisee pole mkuu.
hahaaHatuna nguvu kazi ya kupeleka huko. Jisaidieni wenyewe kwanza mkishindwa tuleteeni. Kwanza wewe muongo mbona uliweza kuandika haya kwa kutumia sm yako?? Uliificha wapi wasiichukue??
hahaa
Usinicheke aisee. Nyiye kazi yenu ni lawama tu kwa polisi. Mengine maneno tu. Aliponea wapi hiyo sim isichukuliwe hadi anaandika huu uzi?hahaa