Police in Nakuru, Kisumu, Eldoret to get advanced communication equipment courtesy of Huawei

Kenyans will anounce each event that would prevail no matter how worthier is!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
This is a kenyan news section. Kindly ask for directions if lost.
 
Kenyans will anounce each event that would prevail no matter how worthier is!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
read the title of the thread dummy
jeez!! what are the odds of finding just one of you guys with a little substance upstairs lol...
 
wee brathee wacha za ovyo ni mm...nlikua tu nakubeba ufala kiu ariff otherwise tupatane hapo city market kesho nikushike ki quota na mutura ya chwani..
 
Hivi ni vitu vidogo sana to take the president of the entire country standing there waiting for the junior officer to sign the documents. Haya ndio mambo JPM anauliza, balozi zetu za nje zinafanya nini. I'm guessing the campaign trail is still ON even in China. I'm sure kuna watu watapiga kura on the basis of these photos.
 
Kwanini basi Huyo JPM hakosi kuenda kufungua vijidaraja vijinini? Kwanini asikamwachie mkuu wa wilaya? Au Waziri?
 
Kwanini basi Huyo JPM hakosi kuenda kufungua vijidaraja vijinini? Kwanini asikamwachie mkuu wa wilaya? Au Waziri?
weka ushahidi wa picha au link inayo onyesha jpj akizindua "vijidaraja" vijijini.

kumbe mnakimbizana na kasi ya Jpm?sikulifahamu hili.[emoji23] [emoji23]
 
weka ushahidi wa picha au link inayo onyesha jpj akizindua "vijidaraja" vijijini.

kumbe mnakimbizana na kasi ya Jpm?sikulifahamu hili.[emoji23] [emoji23]

Hamna tatizo lolote la Kujifahamisha na maisha ya Jirani zako. Hivyo ndivyo mtu yeyote yule anaweza kujifunza ni yapi mazuri ya kuiga na ni yapi mazuri ya kuacha. Hili si jambo la kuzinduliwa na VC wa shule au Waziri wa Elimu? RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AZINDUA MAJENGO YA HOSTELI ZA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM APRIL 15,2017 | Blogu Rasmi ya Ofisi ya Rais

Mradi Huo uliozinduliwa na Magufuli, ni ya TSH 10 Billion. Kile kinachozinduliwa na Uhuru, ni mradi wa TSH 200 Billion. KWeli NYani haoni Kundule.
 
Kwanini basi Huyo JPM hakosi kuenda kufungua vijidaraja vijinini? Kwanini asikamwachie mkuu wa wilaya? Au Waziri?
Umamluki huu utakushinda, hivyo vidaraja ni vipi? Miradi mingapi mikubwa imekuja nchini bila ya JPM kutia mguu nje ya nchi?. Hayo anayoyafanya Kenyatta ndio yale yale ya JK kutwa kupaa na kupishana angani.
 
Umamluki huu utakushunda, hivyo vidaraja ni vipi? Miradi mingapi mikubwa imekuja nchini bila ya JPM kutia mguu nje ya nchi?. Hayo anayoyafanya Kenyatta ndio yale yale ya JK kutwa kupaa na kupishana angani.
Unakurupuka mkuu. Tayari nishakuonesha hapo juu lakini hukuwa na upesi wa Kusoma
 
Unakurupuka mkuu. Tayari nishakuonesha hapo juu lakini hukuwa na upesi wa Kusoma
Hata wewe ungetumia sekunde mbili ungesoma na kuekewa. Kenyatta anatembeza BAKULI, JPM anatumia fedha zetu wenyewe. Tofauti ni kubwa sana, ndio maana nakuambia Kenyatta anayanya yale yale ya JK, kupita pita na bakuli kila aendapo.

Tofauti na wengine uliowazoea, sina muda wa kubishana kwa mabo ya kipuuzi. Basi hiyo..Tanzania mmeshinda; Nyie ni Nchi Tajiri isiyohitaji Msaada na Raise wenu ndiye hana shughuli ya kungua projects za TSH 200 Billion, na Pia Hawezi Kuomba msaada, Kwani Ile Reli mnayojenga ni kwa fedha zenu wenyewe ambazo mmewekewa na South Afrika ndiposa mlikuwa mkiomba iwarudishie hivi majuzi. Kweli husaidiki
 
Ni rahisi sana kujuwa nani ni mtanzania na nani ni mzamiaji. Hata hujuwi miradi yoyote mikubwa inayoendekea hapa Tanzania. Hata huo mradi wa reli hauujuwi. Next time do your damn homework before jumping for things you don't know.
 
Hata wewe ungetumia sekunde mbili ungesoma na kuekewa. Kenyatta anatembeza BAKULI, JPM anatumia fedha zetu wenyewe. Tofauti ni kubwa sana, ndio maana nakuambia Kenyatta anayanya yale yale ya JK, kupita pita na bakuli kila aendapo.

Shida, hujajiuliza ni donation ya nini!!! Ungelijua hilo ungefyata maana kazi ya Uhuru hailinganishwi na ya Magu.
Welcome sir, your president.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…