Kwa nchi km yetu si vzuri jeshi la police kubnafsishwa au kuwa service, km askari ni civil sevant anahongwa pesa ndogo, hata makaz muhim na vngne vingi tu, leo unabnafsisha jeshi wakat hata nchi nyng zilizoendelea hazjafanya hvyo. Kwa Tz Police libaki kuwa jeshi la mkuu wa polisi utafutwe utaratbu wa kumpata na sio huu wa sasa. Nilishapga kaz majeshi yote haya na nkatoka, hvyo bas najua ndan na nje.