Police Mliyofanya Mbeya/ Iringa Ndio Kaburi la CCM?

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
40,455
Reaction score
73,145
Unaweza kudhani unamsaidia mtu kumbe ndio unampoteza zaidi kwa ufanyayo.

Polisi Tanzania chini ya kamanda wa Opereshini Mzanzibar Haji wamefanya matendo ya aibu kwa kuwapiga viongozi kiasi hata wanachama wa ccm wasio na nyazifa wanalaani ujinga huo ambao ni dhahiri umeanzia huko CCM
 
Nguvu zilizotumika kuzuia kongamano la vijana wa CDM, sababu za kijinga zilizotolewa, "double standard" zilivyokuwa katika maadhimisho ya vyama, ukatili mwingi uliotumika kwa wale waluoshikiliwa na Polisi, na kuwaachilia wale wote waliowashikilia, imeonyesha jinsi gani CDM ni chama chenye nguvu namna gani hivi sasa hapa nchini.
 
Yaani yule afande kaonesha kua haogopi jina wala cheo
Haiwezekan sisi raia wakawaida tuwe tunapigwa sisi tuh naona waonje virungu next time waandamane kiakili
 
Ukijijua akili yako ni pungufu jiepushe na makundi ya watu intelligent maana utaonekana kama kinyesi.
Sasa huyo mzanzibar anapelekwa mahakamani as an individual kudaiwa fidia, atafilisiwa hadi makalio ndio ajue ofisi ya umma tenda inayokuagiza.
 
Kwa kweli CDM inaitesa CCM kisaikolojia! Kipindi hiki wakati uchaguzi unakaribia tutaona vituko vingi!
 
Unaweza kudhani unamsaidia mtu kumbe ndio unampoteza zaidi kwa ufanyayo.
Polisi Tanzania chini ya kamanda wa Opereshini Mzanzibar Haji wamefanya matendo ya aibu kwa kuwapiga viongozi kiasi hata wanachama wa ccm wasio na nyazifa wanalaani ujinga huo ambao ni dhahiri umeanzia huko CCM
Hakika
 
Katika hali kama hii, kama huyo Kamishna hajaadhibiwa ndani ya 24 hours basi itakuwa dhahiri kuwa alitumwa na boss wake mkuu atekeleze kipigo hicho.
Na kifuatacho mtakiona, mama anapenda safari za nje sasa atakutana na mabango toka kwa raia na sio raia kwenye balozi zetu na ile heshima yake inapotea jumla
 
Ukijijua akili yako ni pungufu jiepushe na makundi ya watu intelligent maana utaonekana kama kinyesi.
Sasa huyo mzanzibar anapelekwa mahakkaamani as an individual kudaiwa fidia, atafilisiwa hadi makalio ndio ajue ofisi ya umma tenda inayokuagiza.
Ikifanyika ivooo niite iimbwa
 
Unaweza kudhani unamsaidia mtu kumbe ndio unampoteza zaidi kwa ufanyayo.

Polisi Tanzania chini ya kamanda wa Opereshini Mzanzibar Haji wamefanya matendo ya aibu kwa kuwapiga viongozi kiasi hata wanachama wa ccm wasio na nyazifa wanalaani ujinga huo ambao ni dhahiri umeanzia huko CCM
Yajayo yanafurahisha, haitakuwa raisi ht kdg 2025, hawataamini, lkn ndo ukweli wenyewe.
 
HHapana watu wachache ndio wanataka kuaribu
Kama uliona post za chadema walivokua wanaamasisha maandamano
Hili la CHADEMA lina chuki za kidini

Katika hali kama hii, kama huyo Kamishna hajaadhibiwa ndani ya 24 hours basi itakuwa dhahiri kuwa alitumwa na boss wake mkuu atekeleze kipigo hicho.
Na kifuatacho mtakiona, mama anapenda safari za nje sasa atakutana na mabango toka kwa raia na sio raia kwenye balozi zetu na ile heshima yake inapotea jumla
Ndio unavojidanganya ? Hiv unazani mtapata huruma ya nchi za ulaya au ?mkuu mzungu atakusaidia kupindua nchi kama sera zake haziendani na serikali
Sasa kwa tz hii inayovutia wawekezaji kila cku unazani watakua tayar nchi ichafuke kisa wapinzani ambao sera zao hazieleweki
 
Ujinga unakusumbua na mawazo mafupi lakin ujue mnaacha kupambana nanumaskini mbapambana ma upinzani ambao hawana hata rungu, wajinga sana nyie
 
Katika hali kama hii, kama huyo Kamishna hajaadhibiwa ndani ya 24 hours basi itakuwa dhahiri kuwa alitumwa na boss wake mkuu atekeleze kipigo hicho.
Na kifuatacho mtakiona, mama anapenda safari za nje sasa atakutana na mabango toka kwa raia na sio raia kwenye balozi zetu na ile heshima yake inapotea jumla
Kiuhalisia hawezi kufanywa kitu.

Ngoja tuone.
 
Back
Top Bottom