Mzanzibar anachuki na bara na hiyo ndiyo sababu,kupigwa kwa viongozi wa upinzani ni chuki ya kidini na si kingineCHADEMA
KNOWLEDGE = POWER
CCM
POWER IS POWER
Mnafiki ww yule ni Askari na kina mbowe walivunja SheriaM
Mzanzibar anachuki na bara na hiyo ndiyo sababu,kupigwa kwa viongozi wa upinzani ni chuki ya kidini na si kingine
Hili la CHADEMA lina chuki za kidiniMnafiki ww yule ni Askari na kina mbowe walivunja Sheria
Ukijijua akili yako ni pungufu jiepushe na makundi ya watu intelligent maana utaonekana kama kinyesi.Yaani yule afande kaonesha kua haogopi jina wala cheo
Haiwezekan sisi raia wakawaida tuwe tunapigwa sisi tuh naona waonje virungu next time waandamane kiakili
HakikaUnaweza kudhani unamsaidia mtu kumbe ndio unampoteza zaidi kwa ufanyayo.
Polisi Tanzania chini ya kamanda wa Opereshini Mzanzibar Haji wamefanya matendo ya aibu kwa kuwapiga viongozi kiasi hata wanachama wa ccm wasio na nyazifa wanalaani ujinga huo ambao ni dhahiri umeanzia huko CCM
Ikifanyika ivooo niite iimbwaUkijijua akili yako ni pungufu jiepushe na makundi ya watu intelligent maana utaonekana kama kinyesi.
Sasa huyo mzanzibar anapelekwa mahakkaamani as an individual kudaiwa fidia, atafilisiwa hadi makalio ndio ajue ofisi ya umma tenda inayokuagiza.
Yajayo yanafurahisha, haitakuwa raisi ht kdg 2025, hawataamini, lkn ndo ukweli wenyewe.Unaweza kudhani unamsaidia mtu kumbe ndio unampoteza zaidi kwa ufanyayo.
Polisi Tanzania chini ya kamanda wa Opereshini Mzanzibar Haji wamefanya matendo ya aibu kwa kuwapiga viongozi kiasi hata wanachama wa ccm wasio na nyazifa wanalaani ujinga huo ambao ni dhahiri umeanzia huko CCM
Hili la CHADEMA lina chuki za kidini
Ndio unavojidanganya ? Hiv unazani mtapata huruma ya nchi za ulaya au ?mkuu mzungu atakusaidia kupindua nchi kama sera zake haziendani na serikaliKatika hali kama hii, kama huyo Kamishna hajaadhibiwa ndani ya 24 hours basi itakuwa dhahiri kuwa alitumwa na boss wake mkuu atekeleze kipigo hicho.
Na kifuatacho mtakiona, mama anapenda safari za nje sasa atakutana na mabango toka kwa raia na sio raia kwenye balozi zetu na ile heshima yake inapotea jumla
Ujinga unakusumbua na mawazo mafupi lakin ujue mnaacha kupambana nanumaskini mbapambana ma upinzani ambao hawana hata rungu, wajinga sana nyieHHapana watu wachache ndio wanataka kuaribu
Kama uliona post za chadema walivokua wanaamasisha maandamano
Ndio unavojidanganya ? Hiv unazani mtapata huruma ya nchi za ulaya au ?mkuu mzungu atakusaidia kupindua nchi kama sera zake haziendani na serikali
Sasa kwa tz hii inayovutia wawekezaji kila cku unazani watakua tayar nchi ichafuke kisa wapinzani ambao sera zao hazieleweki
Kiuhalisia hawezi kufanywa kitu.Katika hali kama hii, kama huyo Kamishna hajaadhibiwa ndani ya 24 hours basi itakuwa dhahiri kuwa alitumwa na boss wake mkuu atekeleze kipigo hicho.
Na kifuatacho mtakiona, mama anapenda safari za nje sasa atakutana na mabango toka kwa raia na sio raia kwenye balozi zetu na ile heshima yake inapotea jumla