Police mnapo sema I am Not your friend My friend Huwa mnamaanidha Nini?

Police mnapo sema I am Not your friend My friend Huwa mnamaanidha Nini?

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
6,944
Reaction score
14,351
Nikweli Mimi siyo mzungu lakini pamoja na kuwa lugha ya malikia sio yetu ni sawa.

Sasa inakuwaje police mnapokuwa una deal na mtu Huwa mnapenda sana kutumia hili neno "I'm not your friend My friend " Tena mkiwa na ujasiri kabisa hata ukiwa mbele ya mkuu wako wa kituo.

Tuambieni labda ni rejista Zenu na sisi hatuzijui maana yake. Ningependa Leo mtuambie Huwa mna maana Gani?


A I'M NOT YOUR FRIEND MY FRIEND.
🙆🙆😳😳
202409afr_tanzania_police.jpg
 
Lete kavideo mkuu!, kamanda J4 wa Dar hawezi ongea hivyo najua.
 
🤣🤣🤣
Hao watu hawawezekaniki mkuu
 
Back
Top Bottom