Policy statement: kuna haja ya kuvunja kijiji kila eneo likiingia Manispai? why ugatuaji usiendelee? Kwa nini kijiji kivunjwe badala ya kuimarishwa?

Policy statement: kuna haja ya kuvunja kijiji kila eneo likiingia Manispai? why ugatuaji usiendelee? Kwa nini kijiji kivunjwe badala ya kuimarishwa?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Kesho Samia yuko kwa wataalamu wa serikali za mitaa, Mzumbe. Tena kaenda hapo kipindi cha uchaguzi wa mitaa.

Kwa nini kijiji kiwe shida kama ni mchakato wa ugatuaji? Hakuna new thinking ili madaraka yabaki kwa wananchi?maana at first anaamuliwa kijijni, baaadae anaaambiwa nenda mjini. Mjini anamkuta diwani aliyemuacha nyumbani.

Hatuwezi kuwa na case study ya kijiji ndani ya Manispaa/jiji tuone watu wanaamuaje mambo yao?
 
Back
Top Bottom