Majirani Poleni sana kwa hii kitu ''TRIBALISM'' kuna polisi ambaye ni rubani ktk jeshi la polisi kenya comand ya ANGA ameacha KAZI kwa madai ya UKABILA yanayopelekea yy kuacha kazi. Tobias Ogeto ambaye analalamikia kutopandishwa ngazi ktk ajira yake licha ya kumiliki leseni ya kurusha ndege za abiria (CPL). Nisiongee Mengi embu pitia link