Polisi akimwangali tu supa staa wema anovyompiga mfanyakazi wake

Polisi akimwangali tu supa staa wema anovyompiga mfanyakazi wake

Mndundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Posts
233
Reaction score
34
Wadau hii imekaaje kwa polisi kuacha vurugu iendelee tu eneo la tukio?

 
Last edited by a moderator:
nasikia sauti tuu na matusi ya kila dizaini, afu jamaa waliorekodi naona wamejificha sana sijui wapo ghorofani!! mwishoni kabisa ndo naona mtu anayefanana na wema akionyeshwa katika slow motion au sijui niseme kivuli chake maana aoenekani kabisa
 
ss kwa nn gari iibiwe vifaa huku iko ndani na mlinzi yupo?
 
Matusi nimeyasiki na nimeona jamaa anakimbizwa lakini kuona anapigwa bado. Lakini huyu Polisi ni wa Jeshi gani kwa maana hata wale wa Zimamoto hawavai hivi.
 
Heeeeeh madam kacharuka, ila why awatukane hivi si akawashitakie polisi tu
 
Dah huyu binti ni mchafu hadi mdomoni, hata kama umeibiwa kwa mtu mwenye akili zake sidhani kama angereact kwa namna hii. inaonekana watu wa kazi nyumbani kwake wanakoma laa.
 
hivi ni kwasababu wema au ni nini maana swala la kugombana na wafanyakazi linatokea nyumba nyingi tena zingine zaidi ya nyumbani kwa wema.....
 
hivi ni kwasababu wema au ni nini maana swala la kugombana na wafanyakazi linatokea nyumba nyingi tena zingine zaidi ya nyumbani kwa wema.....

Unamaanisha nini kusema yanatokea nyumba nyingi, inamaana hujaguswa na udhalilishaji unaofanywa hapo ?

Hivi watanzania mmelogwa na nani ? Nampongeza aliyetuonyesha picha halisi ya binti huyu kwani mimi huishia tu kumuona akihojiwa kwenye tv na kauli mbiu yake kubwa ni "mimi mtoto wa kiislam" shame on her.

Ni aibu na fedheha kubwa na haya ndio wanayofanyiwa wanyonge wengi majumbani, kudhalilishwa, kutukanwa, kuvuliwa utu...na mpo mnaoona ni kawaida tu.....hata kama ameibiwa so what ?

Na wabunge (kina Serukamba na wenzako) sasa muone matusi mnayoporomosha mjengoni sijui mnaanzia wapi kukemea haya.
 
Na sitoshangaa kuona wanaharakati wa haki za binaadamu wakinyamaza kimya pamoja na ushahidi huu, mnaohusika na haki za wafanyakazi wa majumbani muanze na hili.
 
...Wema... kazoea umalaya wa kila aina.... hiyo gari kajiuza hadi kabaaang imelegea so kifaa kikiibiwa anakumbukia machungu alivyo pindwa kupata hilo gari.....
 
Ukiwa na helaa raha....yaani unatukana mitu yote na wasikufanye kitu. Kumbe kibao kimoja shavuni angeweza adabu zake sawa
 
i'm real shocked na hayo matusi, siamini kama yanatoka mdomoni mwa mtu anaetakiwa kuwa kioo cha jamii. sasa nimeamini hata huo umalaya anaofanya ni wa kweli si kuwa anasingiziwa, lool!!!
bora nikalale tu
 
Back
Top Bottom