ss kwa nn gari iibiwe vifaa huku iko ndani na mlinzi yupo?
aliibiwa kariakoo hakujua.
Baraka ya kumtukana babu wa watu
hivi ni kwasababu wema au ni nini maana swala la kugombana na wafanyakazi linatokea nyumba nyingi tena zingine zaidi ya nyumbani kwa wema.....