Polisi akimwangali tu supa staa wema anovyompiga mfanyakazi wake

anayesema hajamwona sura vizuri,atazame picha hizi.

www.bongoclantz.com/2013/06/SEP.html?m=1
 
Halafu akiwa kwenye media anaongea na sauti kama mtoto, kumbe mnyama, mxxx!
 
Wadau hii imekaaje kwa polisi kuacha vurugu iendelee tu eneo la tukio?

Siyo police jamani huyo...niwalinzi tu wavikampuni uchwara angejaribu kuingilia hapo nae angekosa hicho kibarua ndio maana alikuwa anaangalia tu.....lol kabinti kana mdomo mchafu balaaa....
 
Last edited by a moderator:
Jamani kwani askari ni nani? Hao majirani kama kweli waliumia wangeamulia ugomvi huo! Ama sivyo wasimlaumu huyo sijui police au mgambo kwa sababu wao wakisema hayawahusu hata huyo mgambo haimuhusu yeye ameajiriwa kulinda mali na sio kuamulia ugomvi.
 
Anatimiza alichoruhusu pinda bungeni
 
Na sitoshangaa kuona wanaharakati wa haki za binaadamu wakinyamaza kimya pamoja na ushahidi huu, mnaohusika na haki za wafanyakazi wa majumbani muanze na hili.

She's cursing herself, her mother and all women wht tht k....word!, so stupid!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…