Polisi amuua mkewe, wengine watano naye ajiua kwa kutumia bunduki aina ya AK 47

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
POLISI mmoja mkazi wa Kangemi nchini Kenya amemuua mke wake na watu wengine watano wakiwemo majirani na waendesha bodaboda kwa kutumia bunduki aina ya AK 47 kabla ya kujiua mwenyewe kwa silaha hiyo hiyo.
---

Cop kills 6 including wife before turning gun on self in Kabete

A police officer shot and killed six people before committing suicide in Nairobi’s Kabete area in a bizarre incident.

The deceased included his wife, neighbours and bodaboda riders who had rushed to his house to check what had happened when they heard gunshots on Tuesday morning.

Police said the constable Benson Imbatu attached to Kabete police station went home with his AK47 rifle and picked a quarrel with his wife Carol Imbatu.

This degenerated into the shooting.

Neighbours and bodaboda riders who operate near the Heights Apartment where the officer stayed rushed to the house to check what had happened.

This was after they also saw a fire emanating from the house, police said.

And in the process, Imbatu stepped out with his gun blazing and felled five other people including two bodaboda riders and his neighbours in different locations near the house.

“He went on a shooting spree pursuing his targets far away from the house,” said a neighbour Jane Wanjiru who hid in her house.
Two other people were shot and seriously wounded and are admitted at the Kenyatta National Hospital.

Police who were called to the scene surrounded the house before they heard a gunshot and later discovered he had committed suicide by shooting himself in the neck.

The shooting incident later sparked protests along Thiongo Road with locals demanding explanations why it happened.

The locals lit bonfires at the scene where some of the victims died asking to be told how it happened.

“We have been told the officer had mental issues. Why was he at work?” asked one local.

Dagorreti police boss Francis Wahome said the couple stayed alone in the house.

“We do not know the motive of the incident but we have lost seven people including the officer who died by suicide,” said Wahome.
The bodies were taken to the mortuary.

The officer is among thousands who had hired houses outside the police lines in a new programme launched by authorities.

This is the latest incident to happen affecting police officers in a worrying trend.

Source: Cop kills 6 including wife before turning gun on self in Kabete
 
Watu wenye uwezo wa kunya kwenye mfuko wa plastic kisha kutupa mzigo nje wana uwezo wa kufanya chochote,
I’m Not shocked, Kenyans are primitive
IMG_7369.jpg
 
View attachment 2036286
Primitive kisa nini? Jione, nyie hapo mnatafuna hadi minofu ya albino, binadamu wenzenu, kisa imani za kipumbavu, za kishirikina. Umenikumbusha mnigeria flani ambaye aliniambia kwamba wakenya ni watu primitive, kisa eti utamaduni na mavazi ya wamaasai. Nikamjibu kwamba Kenya hutasikia watu wakikata, kuuza wala kufukua viungo vya mwili vya binadamu wenzao. Wakiamini kwamba vitawapa utajiri. Jamaa aliufyata na hadi leo hii akizungumza nami huwa anatanguliza na bro, mara brother sijui oga.

Hivyo vitu vya kipuuzu huwa vinafanyika tu Nigeria na Tz. Nyie watu hamna 'moral authority' yeyote ya kuwakashifu watu wengine kuhusu maadili wala utu.
 
This madness is getting out of hand. Halafu Mutyambai the IG yupo peace tu, haoni vijana wake wapo depressed kupitiliza. Hizi incidents zimekuwa nyingi sana!
 
Primitive kisa nini? Jione, nyie hapo mnatafuna hadi minofu ya albino, binadamu wenzenu, kisa imani za kipumbavu, za kishirikina. Umenikumbusha mnigeria flani ambaye aliniambia kwamba wakenya ni watu primitive, kisa eti utamaduni na mavazi ya wamaasai. Nikamjibu kwamba Kenya hutasikia watu wakikata, kuuza wala kufukua viungo vya mwili vya binadamu wenzao. Wakiamini kwamba vitawapa utajiri. Jamaa aliufyata na hadi leo hii akizungumza nami huwa anatanguliza na bro, mara brother sijui oga.

Hivyo vitu vya kipuuzu huwa vinafanyika tu Nigeria na Tz. Nyie watu hamna 'moral authority' yeyote ya kuwakashifu watu wengine kuhusu maadili wala utu.
Hata kenya imani za kishirikina zipo sana shida yenu mnajiona mko more civilized than others in east africa
 
If you can dare to poo in a plastic bag and throw it away that says it all. Primitive.
 
Wewe endelea tu kuvaa hirizi, zenye ngozi na meno ya albino, kwa raha zako. Utatajirika tu siku moja. 😏
 
Hata kenya imani za kishirikina zipo sana shida yenu mnajiona mko more civilized than others in east africa
Offcourse zipo, sawa na nchi zote zingine kote duniani. Ila sio kwa sana wala sio asilimia kubwa ya watu ambao wana hizo imani nchini Kenya. Hadi ifikie hiyo level ya kunyofoana viungo. Tena wengi wenye imani kali kama hizo nchini Kenya wana muingiliano kwa njia moja au nyingine na watz. Kwa mfano kwenye boda Tanga, Isebania na Pwani, yaani uswahilini kwa ujumla.

Tz kutoka bungeni, serikalini, kwa matajiri hadi kwa walalahoi mwendo ni ule ule wa ushirikina. Ili usiseme kwamba nina chuki tuanzie tu hapa Jf, hizi nyuzi na comments kwenye kurasa zote hizi ni za leo hii tu; >>>Wapi napata mganga wa Kienyeji mzuri? >>>True Story: Nikiwa natafuta kazi nikadondokea mikononi mwa waganga

Nionyeshe uzi hata mmoja tu wa sampuli hiyo kwenye jukwaa hili la Habari na Siasa za Kenya.
 
Nauliza tu hii jf ni ya kenya au tz?
Kama ni ya tz je kenya wana yao¿
Inaitwaje?
 
Primitive kisa nini? Jione, nyie hapo mnatafuna hadi minofu ya albino, binadamu wenzenu, kisa imani za kipumbavu, za kishirikina. Umenikumbusha mnigeria flani ambaye aliniambia kwamba wakenya ni watu primitive, kisa eti utamaduni na mavazi ya wamaasai. Nikamjibu kwamba Kenya hutasikia watu wakikata, kuuza wala kufukua viungo vya mwili vya binadamu wenzao. Wakiamini kwamba vitawapa utajiri. Jamaa aliufyata na hadi leo hii akizungumza nami huwa anatanguliza na bro, mara brother sijui oga.

Hivyo vitu vya kipuuzu huwa vinafanyika tu Nigeria na Tz. Nyie watu hamna 'moral authority' yeyote ya kuwakashifu watu wengine kuhusu maadili wala utu.
Kenya wacheni kujiliwaza, kawaida Mambo ya hovyo Kama haya lazima yafike mwisho, tatizo la nchi yenu ni kwamba haya Mambo yamekua ni sehemu ya maisha yenu.

Tanzania tulikua na tatizo la mauaji ya vikongwe kwa imani za uchawi, limeshughulikiwa na Sasa hivi limekwisha au linakaribia Kuisha, mauaji ya albino ni Historia, ila Kenya mapigano ya wafugaji, mauaji Kama haya, ujambazi, magaidi vimekua ni sehemu ya maisha yenu.
 
Tatizo hawa jamaa wanajifanya wanajua sana
Ni mpumbavu tu akisikia bunduki inalia akakimbilia inakolia

Seriously?
Eti walienda kuangalia kuna nini heee

Sisi wa kwetu ukisikia tu mbio
Wamekufa kizembe sana na ukiherehere wao
Poleni majirani na kujifanya mnajua ndio madhara yake hayo
 
Inaitwa Uchawiland. [emoji41] Ulichangia hela ngapi kwenye shughuli yote ya kubuni Jf? Nataka nikupe refund.

Sio Kunyaland ?
The best practice of a typical Kenyan is kunyakunya kama bata.
Besides pooping in plastic bags,
Massive Campaigns have been launched lately to curb the problem of kunya kwa vichaka. Primitivity.
ea33f7ad-fa62-4b6e-86e0-edfc141d0565.jpg
 
Back
Top Bottom