Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,210
- 1,720
Wakuu hii habari imenipa huzuni kweli......muangalie askrai huyu na mshahara wake wa elfu 70 kaamua kujikimu na biashara ya mihogo nayo wameona atafaidi sana wakamtimua kambini........
Nimetokea kumchukia Jk na serikalki yake mpaka basi
Mods mnaweza kuiamisha kama si mahala pake ila nina hasira na mkwere
Nimetokea kumchukia Jk na serikalki yake mpaka basi
Na blog ya MrokiAskari Polisi akiwa nje ya nyumba waliyokuwa wakiishi Polisi Ufundi Barabara ya Kilwa Dar es Salaam jana baada ya uongozi wa kambi hiyo kutupia nje mumewe vitu hivyo kwa kile kilichodaiwa biashara ya mihogo inayofanywa na mkewe kambi hapo.
Mods mnaweza kuiamisha kama si mahala pake ila nina hasira na mkwere