johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Waulize Ufipa bwashee!Vipi mkuu leo huna TANZIA
Bwashee punguza kupost utumboWaulize Ufipa bwashee!
Hahahaaaa....... Jiwe limekupata hapo Ufipa!Bwashee punguza kupost utumbo
Tuendelee kumuombea Dk Mpango afya njema
We unaroga watu wafe ili Tanzia zitangazwe ufurahi?Vipi mkuu leo huna TANZIA
Mwizi aliyeiba ndio atafafanua vizuri kule polisi!Fafanua vizuri, bastora iliibiwa vipi dirishani?
Mh...Kuna watu ni wazembe aisee! Yaani silaha unaiweka sehemu ya wazi, tena dirishani kiasi cha mwizi kuichukua tu kwa urahisi na kutembea nayo!!
Halafu huyu Nape si ni Mbunge wa Mtama huyu!! Sasa huko Kawe kwa Halima Mdee anafanya nini tena!! Badala ya kurudi Jimboni kwake! yeye anakula tu bata Mjini!!!
Nadhani ni ubovu wa Elimu au Kuna kingine hapo Mkuu mambo ya siraha huku Kuna mdudu covid anatumaliza mno..Watu wanahangaika na Covid-19 hawa wanakuja na sinema zao za kibwege.
Nakubaliana na wewe.Nape mzembe.... apokonywe hiyo bastola
Astakafullahi!Vipi mkuu leo huna TANZIA