Polisi: Bastola ya Nape Nnauye iliyoibwa nyumbani kwake Kawe Beach imepatikana mkoani Mbeya

Nape naye anamiliki bastola ya nini huyo checkbob? Mbona siku Ile Yule muhuni wa kundi la jiwe na bashite la watu wasiojulikana kamtolea bastola na hakujibu mapigo?
 
Yaani imeibiwa kwa kupitia dirishani.
Ina maana alikuwa kaiweka mezani au.
Huu ni uzembe wa hali ha juu hivi alieiiba angeamua kumapusua nayo si angemaliza?na kingine Nape ni pono kiasi hicho kumbe?
 
Yaani imeibiwa kwa kupitia dirishani.
Ina maana alikuwa kaiweka mezani au.
Huu ni uzembe wa hali ha juu hivi alieiiba angeamua kumapusua nayo si angemaliza?na kingine Nape ni pono kiasi hicho kumbe?
Labda aliiweka kwenye mfuko wa suruali!
 
Kumbe Magufuli hakukosea kabisa kumtumbua, he was right, imagine hiyo ni silaha anayoimiliki yeye, je atakuwa na uchungu na maisha ya mwananchi mlalahoi!!!
 
Aliibiwa akiwa kwa demu, ataibiwaje nyumba ina fensi pamoja na ulinzi? alileweshwa dawa na damu silaha ikaenda
 
Bongo watu sio violent hata mwenye bastola akikabwa anajiuliza Kwanza hawa wanataka kunikaba huku akiendelea kujiuliza anakabwa kweli huku akiwa na siraha...ngoja niendelee kutengeneza picha Kama kweli siraha iliibiwa dirishani...
Nimeshangaa sana, kusikia Siraha inaibiwa kupitia dirishani, hayo ni maajabu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Anaweka mkuu wa bata kizembe sana dah
 
Nimeshangaa sana, kusikia Siraha inaibiwa kupitia dirishani, hayo ni maajabu [emoji3][emoji3][emoji3]. Anaweka mkuu wa bata kizembe sana dah
Watanzania wengi wanapenda kumiliki silahaa si kwa kujilinda,ila kwa ajili ya show off tu, silahaa ni kitu Cha hatari sana unatakiwa uwenacho makini sana,maana silahaa yako hiyo hiyo inaweza ikakutoa uhai ukiwa mzembe!!
 
Watanzania wengi wanapenda kumiliki silahaa si kwa kujilinda,ila kwa ajili ya show off tu, silahaa ni kitu Cha hatari sana unatakiwa uwenacho makini sana,maana silahaa yako hiyo hiyo inaweza ikakutoa uhai ukiwa mzembe!!
Mtu hadi anachukua mguu wa kuku dirishani kuna uzembe flani alifanya, na ambao ni hatari
 
Imepatikana Mbeya , itakuwa ilichukuliwa na Ndugu zake , ndio maana ikawa rahisi kuipata
 
Kwa staili hiyo hata kifaru pia angeweza kuibiwa.
 
Kama ni kweli hiyo silaha iliibiwa kupitia dirishani, huo ni uzembe usiovumilika. Na Kama Jeshi la Polisi litaamua kulikazia suala hili huyo mmiliki wa bastola anapaswa kunyang'anywa hiyo silaha maana ameshindwa kuitunza/ kuimiliki.
 
Yote hiyoni kudivert attention kuhusu Kirusi kuondoka watu wa koridoni kwa mfalme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…