#VIDEO: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kupatikana kwa Vincent Massawe (Bwana harusi) ambaye taarifa zake zilisambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba amepotea siku chache baada ya kufunga ndoa.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro amesema Vicent amekutwa amejificha maeneo ya Chake Chake Pemba na baadaye walimkuta kwa Mganga wa kienyeji Zanzibar na baada ya mahojiano walibaini Vincent alikuwa ana madeni mengi hali iliyopelekea kutengeneza mazingira ya yeye kupotea.
View: https://www.facebook.com/share/v/19nQSp2ugR/?mibextid=ff4enFATZKjxhjKN