DOKEZO Polisi Chanika wamebariki Vitendo ya Panya road na Wizi Eneo la Msongola Mvuleni na Kitonga

DOKEZO Polisi Chanika wamebariki Vitendo ya Panya road na Wizi Eneo la Msongola Mvuleni na Kitonga

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
KItuo cha polisi Chanika, kimekuwa kikipelekewa malalamiko kila kukicha na viongozi wa Mtaa wa Mvuleni Msongola, Maeneo ya Kitonga

Wananchi wanashindwa kuendelea na shughuli zao. Wanavamiwa na kutekwa Mchana kweupe na makundi ya vijana. Makundi yao ni Gusq, Dolla Mbili

Wanatesa sana wananchi
Je, wananchi tuchukue sheria Mkononi ?
 
Mkuu polisi wakichukua hatua stahiki usije na bandiko la huruma
 
KItuo cha polisi Chanika, kimekuwa kikipelekewa malalamiko kila kukicha na viongozi wa Mtaa wa Mvuleni Msongola, Maeneo ya Kitonga

Wananchi wanashindwa kuendelea na shughuli zao. Wanavamiwa na kutekwa Mchana kweupe na makundi ya vijana. Makundi yao ni Gusq, Dolla Mbili

Wanatesa sana wananchi
Je, wananchi tuchukue sheria Mkononi ?
Wewe keyboard warrior ungekuwa na uwezo wa kuchukua sheria mkononi usingekuja kulialia hapa jukwaani.

Wasilisha malalamiko yenu kwa Mkaguzi Kata (Zamani Polisi Kata) wa eneo husika, pia mna wajibu wa kuunda vikundi vya ulinzi shirikishi na kuwatolea taarifa ya moja kwa moja kwa kutaja majina ya vijana wanaojihusisha na vitendo vya uhalifu katika maeneo yenu bila kuwaonea muhali kuwa yule ni mtoto wa fulani mzazi wake atanionaje nikimchoma.

Tanzania bila uhalifu inawezekana, chukua hatua.
 
Back
Top Bottom