Huu ni upuuzi kabisa na kutaka kuwadanganya watanzania. Wao ndio wahusika harafu eti wanachunguzaWakuu,
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limetoa taarifa kwa umma leo tarehe 21 Mei 2026, kufuatia sintofahamu na taarifa zilizokuwa zinasambaa mitandaoni tangu jana usiku kuhusu kukamatwa kwa Ndg. David Joseph Mghanja (maarufu kama Djumbe) na watu ‘wasiojitambulisha’ huko maeneo ya Bunju.
Kupitia taarifa hiyo iliyotolewa na Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum, haya ni mambo makuu ya kuzingatia (Summary):
Gari Lilikamatwa: Katika ufuatiliaji wao, Polisi walifanikiwa kulipata gari aina ya Toyota Wish rangi nyeusi lenye namba za usajili T 609 DTD. Gari hili ni mali ya Allan Elisonguo Macha na inadaiwa Djumbe alikuwa abiria kwenye gari hilo wakati anakamatwa.
Kufuatiliwa Ofisi za CHADEMA: Leo asubuhi (Mei 21), Polisi walipokea taarifa kuwa Djumbe yupo ofisi za Chadema, Mikocheni. Askari walifika hapo lakini hawakumkuta, isipokuwa walimkuta mtu ambaye inadaiwa alikuwa naye wakati tukio linatokea.
Kupatikana kwa Djumbe: Taarifa inathibitisha rasmi kuwa David Djumbe ameshapatikana.
Uchunguzi Unaendelea: Jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi ili kuwabaini watu waliomkamata na kujua madhumuni yao ni yapi ili sheria ichukue mkondo wake.
Nimeweka kiambatisho cha taarifa yenyewe hapa chini kwa wote wanaopenda kujisomea kwa kina.
Huyo kaimu kamanda wa polisi mbona hajajutambulisha ni nani kwenye hiyo barua?! Anaogopa nini kuandika jina lake MAFFWELEWakuu,
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limetoa taarifa kwa umma leo tarehe 21 Mei 2026, kufuatia sintofahamu na taarifa zilizokuwa zinasambaa mitandaoni tangu jana usiku kuhusu kukamatwa kwa Ndg. David Joseph Mghanja (maarufu kama Djumbe) na watu ‘wasiojitambulisha’ huko maeneo ya Bunju.
Kupitia taarifa hiyo iliyotolewa na Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum, haya ni mambo makuu ya kuzingatia (Summary):
Gari Lilikamatwa: Katika ufuatiliaji wao, Polisi walifanikiwa kulipata gari aina ya Toyota Wish rangi nyeusi lenye namba za usajili T 609 DTD. Gari hili ni mali ya Allan Elisonguo Macha na inadaiwa Djumbe alikuwa abiria kwenye gari hilo wakati anakamatwa.
Kufuatiliwa Ofisi za CHADEMA: Leo asubuhi (Mei 21), Polisi walipokea taarifa kuwa Djumbe yupo ofisi za Chadema, Mikocheni. Askari walifika hapo lakini hawakumkuta, isipokuwa walimkuta mtu ambaye inadaiwa alikuwa naye wakati tukio linatokea.
Kupatikana kwa Djumbe: Taarifa inathibitisha rasmi kuwa David Djumbe ameshapatikana.
Uchunguzi Unaendelea: Jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi ili kuwabaini watu waliomkamata na kujua madhumuni yao ni yapi ili sheria ichukue mkondo wake.
Nimeweka kiambatisho cha taarifa yenyewe hapa chini kwa wote wanaopenda kujisomea kwa kina.
Kwanini gari lilikimbilia ofisi za usalama wa Taifa baada ya kuona wananchi wanakuja juu?Wakuu,

Faki these sons of bitches! Hivi hawa mazafakas wanatuonaje Watanzania? Kwamba hatuna akili hata kidogo?Wakuu,

vikosi vya usalama bara vimeingiliwa na vikosi kutoka zanzibar...ndio wanaongoza mauwaji na vitendo vya kikatili huku tanganyika. hata 29 oktoba ndio waliongoza mauwaji ya watanganyikaWakuu,
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limetoa taarifa kwa umma leo tarehe 21 Mei 2026, kufuatia sintofahamu na taarifa zilizokuwa zinasambaa mitandaoni tangu jana usiku kuhusu kukamatwa kwa Ndg. David Joseph Mghanja (maarufu kama Djumbe) na watu ‘wasiojitambulisha’ huko maeneo ya Bunju.
Kupitia taarifa hiyo iliyotolewa na Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum, haya ni mambo makuu ya kuzingatia (Summary):
Gari Lilikamatwa: Katika ufuatiliaji wao, Polisi walifanikiwa kulipata gari aina ya Toyota Wish rangi nyeusi lenye namba za usajili T 609 DTD. Gari hili ni mali ya Allan Elisonguo Macha na inadaiwa Djumbe alikuwa abiria kwenye gari hilo wakati anakamatwa.
Kufuatiliwa Ofisi za CHADEMA: Leo asubuhi (Mei 21), Polisi walipokea taarifa kuwa Djumbe yupo ofisi za Chadema, Mikocheni. Askari walifika hapo lakini hawakumkuta, isipokuwa walimkuta mtu ambaye inadaiwa alikuwa naye wakati tukio linatokea.
Kupatikana kwa Djumbe: Taarifa inathibitisha rasmi kuwa David Djumbe ameshapatikana.
Uchunguzi Unaendelea: Jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi ili kuwabaini watu waliomkamata na kujua madhumuni yao ni yapi ili sheria ichukue mkondo wake.
Nimeweka kiambatisho cha taarifa yenyewe hapa chini kwa wote wanaopenda kujisomea kwa kina.
hii drama ni wazi chadema hq wameipika ili kuzua taharuki, kugain political sympathy na tension zaidi kwa mabeberu yanayowafadhili,Wakuu,
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limetoa taarifa kwa umma leo tarehe 21 Mei 2026, kufuatia sintofahamu na taarifa zilizokuwa zinasambaa mitandaoni tangu jana usiku kuhusu kukamatwa kwa Ndg. David Joseph Mghanja (maarufu kama Djumbe) na watu ‘wasiojitambulisha’ huko maeneo ya Bunju.
Kupitia taarifa hiyo iliyotolewa na Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum, haya ni mambo makuu ya kuzingatia (Summary):
Gari Lilikamatwa: Katika ufuatiliaji wao, Polisi walifanikiwa kulipata gari aina ya Toyota Wish rangi nyeusi lenye namba za usajili T 609 DTD. Gari hili ni mali ya Allan Elisonguo Macha na inadaiwa Djumbe alikuwa abiria kwenye gari hilo wakati anakamatwa.
Kufuatiliwa Ofisi za CHADEMA: Leo asubuhi (Mei 21), Polisi walipokea taarifa kuwa Djumbe yupo ofisi za Chadema, Mikocheni. Askari walifika hapo lakini hawakumkuta, isipokuwa walimkuta mtu ambaye inadaiwa alikuwa naye wakati tukio linatokea.
Kupatikana kwa Djumbe: Taarifa inathibitisha rasmi kuwa David Djumbe ameshapatikana.
Uchunguzi Unaendelea: Jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi ili kuwabaini watu waliomkamata na kujua madhumuni yao ni yapi ili sheria ichukue mkondo wake.
Nimeweka kiambatisho cha taarifa yenyewe hapa chini kwa wote wanaopenda kujisomea kwa kina.
CCM naona wanaipakua sasahii drama ni wazi chadema hq wameipika ili kuzua taharuki, kugain political sympathy na tension zaidi kwa mabeberu yanayowafadhili,
ni wazi ni tukio la kujiteka 🐒