Polisi Dodoma kuvaa kiraia, kuendesha pikipiki za kiraia na kuvizia bodaboda ni njaa au?

Wilhelm Johnny

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2016
Posts
1,368
Reaction score
1,325
Wakuu ni njaa kali sana au ni nini nimeshuhudia polisi Dodoma wamevaa kiraia wanaendesha pikipiki za kiraia wanavizia bodaboda na kuchukua rushwa nimewaona leo hapa Area C nikashangaa ndio utaratibu wa kazi ulivyo sasa hivi!
 
59830.jpg

Tunalinda raia
 
Wakuu ni njaa kali sana au ni nini nimeshuhudia polisi Dodoma wamevaa kiraia wanaendesha pikipiki za kiraia wanavizia bodaboda na kuchukua rushwa nimewaona leo hapa area c nikashangaa ndio utaratibu wa kazi ulivyo saivi
Weka picha
 
Waweza kuta ni kakikundi kamebuni mbinu mpya ya kula hela, boda wakijipanga wambananishe mmojawapo kwa kichapo

Moshi kuna aliyeibiwa pikipiki kwa mtindo huo hawa polisi wamekua kama vibaka hawatosheki na mishahara yao mpaka wavunje taratibu za kazi
 
Dawa ni kumfundisha mmoja ili iwe fundisho kwa wengine
 
Wakuu ni njaa kali sana au ni nini nimeshuhudia polisi Dodoma wamevaa kiraia wanaendesha pikipiki za kiraia wanavizia bodaboda na kuchukua rushwa nimewaona leo hapa Area C nikashangaa ndio utaratibu wa kazi ulivyo sasa hivi!
Wewe fata sheria tu wavae kiraia au kikazi utakuwa shwari

USSR
 
Ningedhubutuje kupiga picha na huyo bodaboda nilikua nimemkodi kuna mzigo nikua natuma machame pale
We dogo mnafiki sana. Tumeishakujua...

Popote ulipo tutakukamata ili ulisaidie jeshi la polisi kutoa maelezo kamili.

Wewe si ndo yule ambae ulikua umevaa gauni jeusi...ulikua na boda mwenye meno yameungua? Sasa tulia , tutakunyorosha!!!
 
Wewe fata sheria tu wavae kiraia au kikazi utakuwa shwari

USSR

Mimi sina tabu mkuu tabu ni ufanyaji wao wa kazi unawalakini mkuu waNakula kama vibaka walioithinishwa kisheria
 
We dogo mnafiki sana. Tumeishakujua...

Popote ulipo tutakukamata ili ulisaidie jeshi la polisi kupata maelezo kamili.

Wewe si ndo yule ambae ulikua umevaa gauni jeusi...ulikua na boda mwenye meno yameungua? Sasa tulia , tutakunyorosha!!!

Niko Chang’ombe hapa mkuu stand mpya unakaribishwa
 
We dogo mnafiki sana. Tumeishakujua...

Popote ulipo tutakukamata ili ulisaidie jeshi la polisi kupata maelezo kamili.

Wewe si ndo yule ambae ulikua umevaa gauni jeusi...ulikua na boda mwenye meno yameungua? Sasa tulia , tutakunyorosha!!!
Hahaha, aisee
 
Back
Top Bottom