Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,368
- 1,325
Weka pichaWakuu ni njaa kali sana au ni nini nimeshuhudia polisi Dodoma wamevaa kiraia wanaendesha pikipiki za kiraia wanavizia bodaboda na kuchukua rushwa nimewaona leo hapa area c nikashangaa ndio utaratibu wa kazi ulivyo saivi
View attachment 2561469
Tunalinda raia
Weka picha
Waweza kuta ni kakikundi kamebuni mbinu mpya ya kula hela, boda wakijipanga wambananishe mmojawapo kwa kichapo
Dawa ni kumfundisha mmoja ili iwe fundisho kwa wengineMoshi kuna aliyeibiwa pikipiki kwa mtindo huo hawa polisi wamekua kama vibaka hawatosheki na mishahara yao mpaka wavunje taratibu za kazi
Wewe fata sheria tu wavae kiraia au kikazi utakuwa shwariWakuu ni njaa kali sana au ni nini nimeshuhudia polisi Dodoma wamevaa kiraia wanaendesha pikipiki za kiraia wanavizia bodaboda na kuchukua rushwa nimewaona leo hapa Area C nikashangaa ndio utaratibu wa kazi ulivyo sasa hivi!
We dogo mnafiki sana. Tumeishakujua...Ningedhubutuje kupiga picha na huyo bodaboda nilikua nimemkodi kuna mzigo nikua natuma machame pale
Wewe fata sheria tu wavae kiraia au kikazi utakuwa shwari
USSR
We dogo mnafiki sana. Tumeishakujua...
Popote ulipo tutakukamata ili ulisaidie jeshi la polisi kupata maelezo kamili.
Wewe si ndo yule ambae ulikua umevaa gauni jeusi...ulikua na boda mwenye meno yameungua? Sasa tulia , tutakunyorosha!!!
Tunakuja OVANiko Chang’ombe hapa mkuu stand mpya unakaribishwa
Hahaha, aiseeWe dogo mnafiki sana. Tumeishakujua...
Popote ulipo tutakukamata ili ulisaidie jeshi la polisi kupata maelezo kamili.
Wewe si ndo yule ambae ulikua umevaa gauni jeusi...ulikua na boda mwenye meno yameungua? Sasa tulia , tutakunyorosha!!!
Afu we dogo unaonekana mjeuri sana wewe! Unataka kutufundisha namna ya kufanya Kazi zetu? Unatujua sisi nani?Karibuni sana
Hahah, muulize anakunywa nini tumuagizieKaribuni sana
Hahah, muulize anakunywa nini tumuagizie
Afu we dogo unaonekana mjeuri sana wewe! Unataka kutufundisha namna ya kufanya Kazi zetu? Unatujua sisi nani?