TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Wamempiga sana na kumfanyia unyama wa kila aina na sasa yuko hoi katika chumba cha ICU.
Daktari mmoja bingwa ni zaidi ya polisi 3000
Hili ndio neno.kunawakati mizani ni muhimu na si kila mara tuwalaum wao tu.Issue sio kuwa daktari bingwa au kuwa form four
Issue ni kuhakikisha Sheria inafatwa
Kama alikuwa anaendesha gari vibaya na kuhatarisha usalama wa watumiaji wengine wa barabara anabidi kukamatwa
Na kama amepigwa hadi ICU hao waliompiga wametenda kosa.
Kwahiyo issue sio kuwa form four au daktari bingwa .
Kwakuwa tukitazama potential Kuna watu kama Bakhressa wanaoathiri uchumi wa nchi kwa kiwango kikubwa ila still Wana obey law.
So tumia akili kufikiri
Hatari sanaTanzania kuna chuki ya wasiosoma wapo kwenye ajira na wenye Elimu zao vita kubwa sana hiyo haitaisha leo wala kesho.
Tangu lini trafiki wakafuata sheria na taratibu? Wao wanachojua ni kutoa ufunguo wa gari na kuondoka ili umfuate muongee kuhusu chochote kitu.Issue sio kuwa daktari bingwa au kuwa form four
Issue ni kuhakikisha Sheria inafatwa
Kama alikuwa anaendesha gari vibaya na kuhatarisha usalama wa watumiaji wengine wa barabara anabidi kukamatwa
Na kama amepigwa hadi ICU hao waliompiga wametenda kosa.
Kwahiyo issue sio kuwa form four au daktari bingwa .
Kwakuwa tukitazama potential Kuna watu kama Bakhressa wanaoathiri uchumi wa nchi kwa kiwango kikubwa ila still Wana obey law.
So tumia akili kufikiri
Mzee hiyo vita ipo chini chini sana ukiona mpaka watu wanaamua kupigana bara barani jua kuna makwazo ya muda mrefu sana.Hatari sana
Siyo kuwatibu tu hata wakiamu kuzima pacemakerPolisi wakaw chini waongee na madaktari wqyamalize..
Madaktari ni jeshi kubwa sana.!
Hivi wakiamua wasiwatibu Polisi wetu hali itakuaje huko mtaani??!
SawaTangu lini trafiki wakafuata sheria na taratibu? Wao wanachojua ni kutoa ufunguo wa gari na kuondoka ili umfuate muongee kuhusu chochote kitu.
Huo ndiyo weledi wa kazi zao? Hakuna wanachofanya barabarani zaidi ya kupiga gari mkono halafu wanasubiri uwaungie buku mbili usepe.
Nilikuwa Mbeya juzi kati, niliona polisi kaviziwa, kapigwa jiwe anachuruzika damu, aliyempiga naye kakimbia, watu badala ya kumsaidia polisi wanafurahia huku jamaa yuko chini anavuja tu damu.Mzee hiyo vita ipo chini chini sana ukiona mpaka watu wanaamua kupigana bara barani jua kuna makwazo ya muda mrefu sana.
Mtu yoyote yule hapaswi kufanyiwa ukatili, haijalishi ni daktari bingwa au form four failure. Ni kosa kumpiga mtu hadi analazwa ICUWamempiga sana na kumfanyia unyama wa kila aina na sasa yuko hoi katika chumba cha ICU.
Daktari mmoja bingwa ni zaidi ya polisi 3000
Ndio maana kichwani hawana kituKumpata Daktari Bingwa inachukua sio chini ya miaka 13 ![ Form four miaka 4 + Kidato cha 6 miaka 2+ Chuo kikuu miaka 4 + Internship mwaka 1+ masters miaka 2 Jumla miaka 13
Kumpata polisi SGT ni mwaka 1 na nusu![ Form Four miaka 4 + CCP miezi 6]
sio wasiwatimu...wakawashiiiiii itakuajePolisi wakaw chini waongee na madaktari wqyamalize..
Madaktari ni jeshi kubwa sana.!
Hivi wakiamua wasiwatibu Polisi wetu hali itakuaje huko mtaani??!
Smart wordsIssue sio kuwa daktari bingwa au kuwa form four