KERO Polisi Goba izuie pikipiki zinazozua taharuki kwa kupiga fataki ya injini “STOP ENGINE”

KERO Polisi Goba izuie pikipiki zinazozua taharuki kwa kupiga fataki ya injini “STOP ENGINE”

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kila siku hasa jioni kuna pikipi zina pita maeneo ya Goba njia 4 na kupiga mafataki ya “STOP ENGINE” ambayo ulio kama mlio wa risasi na kuzuo hofu sana, hii tabia sasa ni mwaka 2 na naona anefanga hivyo amejiamini sana.
 
Back
Top Bottom