Polisi hamasisheni bodaboda kutoa ushirikiano kwa kukamatana pale mwenzao anapogonga au sababisha ajali

Polisi hamasisheni bodaboda kutoa ushirikiano kwa kukamatana pale mwenzao anapogonga au sababisha ajali

royal tourtz

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
255
Reaction score
326
Imekuwa ni kama kawaida sana kwa siku hizi na tokea zamani pale inapotokea mwendesha pikipiki za abilia maarufu kama bodaboda. pale inapotea bodaboda yeyote kugonga mtu au kusababisha ajari,na bodaboda huyo kutoweka kabisa na hakuna wa kumfatilia.

Tatizo kuu ambalo lipo,huyu bodaboda anaweza kugonga katikati ya mji au karibu na hudma za boda boda na wezake wakaona kila kitu lakini wenzake hawawezi kuona kama amefanya makosa matokeo yake wenzake hawatasogea eneo la tukio lakini pia hawatajishughulisha kumfatilia mwenzao ili kumkamata. matokeo yake aliyegongwa ndio atapambana na hali yake.

Kwa ushauri wangu.nafikiri ni suala la elimu na kutoa hamasa kwa, wao kwa wao wawe ndio msitari wa mbele kukamatana pale wanapofanya makosa. Maana ukiwauliza wanasema hawawezi mkamata mwenzao kwa vile amegonga.. ila wao gari likimgonga mmoja ndio mtajua hao jamaa wako wengi kiasi gani
 
Kama wanavyo onyesha ushirikiano mmoja wao akigongwa basi iwe hivyo hivyo pia mwana bodaboda akisababisha ajali au amegonga basi waonyeshe ushirikiano akamatwe
 
Its a lawless country. Na wewe siku ukigonga boda ba hawawezi kukukimbiza nyanyua chuma tembea.
 
Back
Top Bottom