Matumaini yangu wote hamjambo!
Nimefikiria kwa siku kadha na hasa baada ya kupambana na malalamiko kadhaa nimeona ni wakati sasa kwa wana JF kupaza sauti kwa nchi nzima ili watukufu viongozi wa vyama vya siasa vipatavyo ruzuku toka serikani vione umuhimu wa kupeleka japo vijisenti kidogo kwenye ofisi zao za mikoani na wilayani kwao ofisi nyingi za waheshimiwa tunao penda na kuwaheshimu sana zipo taabani .pamoja na jitihada zao za kuikosoa serikali, kuishauri. pamoja na michango mingi hapa JF michango ambayo matokeo yake tumeiona siwezi kuitaja hivi hatuwezi sasa kupata wasaa wa kuwashauri waheshimiwa viongozi hawa kuona umuhimu wa kupeleka ruzuku mikoani vinginevyo michango mingi tuipatayo hapa watekelezaji wengi tunao wategemea ndio wamezamia Dar wakiambiwa habari za ruzuku wanakuwa mbogo! hatufiki popote viongozi ninaoomba tuwapigie kelele niu NCCR, CUF,UDP,CHADEMA angalau kwa kuanzia tuwakumbushe waheshimiwa hawa,maana wengine ofisi zao zipo sebuleni, chini ya miti na vijiweni, ushauri wangu kwa wana JF pamojana Criticism kubwa tuliyonayo kwa serikali kwa mapungufu yake lakini umefika wakati sasa wa kupaza sauti kwa hao tunaoona waweza kuwa mbadala wa CCM.