Mshinga
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 3,532
- 1,126
BAADA ya tukio la ugaidi kenya kufanywa kwa ustadi mkubwa kiasi cha kuaminika kuwa hakuna hata gaidi mmoja aliyeuwawa na majeshi ya kenya NIMEBAINI JESHI LETU LA POLISI na intellijensia ya kisiasa ya kova HAVINA kabisa uwezo wa kubaini na kukabili matukio kama haya,KAMA MAJAMBAZI yanaweza kuvamia na kuiba katikati ya jiji la Dar es salaam lenye askari lukukiki wakifanya surveillance masaa 24 kila kona ya barabara na maeneo muhimu.NA YANATOWEKA SALAMA TENA BILA TATIZO,tujiulize ni kiasi gani intellijensia ina uwezo butu wa kubaini matukio hatari,intellijensia inasikika pale tu ambapo kuna chama cha upinzani kikitangaza maandamano,TUJIULIZEni kiasi gani mlimani city pako salama?Ni kiasi gani mabasi yapo salama?Ni kiasi gani bar,pub,club zina usalama?Ni kiasi gani mahosipitali yetu yapo salama,ni kiasi gani viwanja vya mpira viko salama?Ni kiasi gani vyuo na mashule yako salama?Ni kiasi gani masoko kama kariakoo yapo salama?KAMA JAMBAZI ANAWEZA KUFIKA NA KUIBA je itakuwaje kama ni gaidi linatumia muda huo kua??