Polisi Ibada ya kuwaombea wafu haijawahi kuwa jinai. Njoo tu muue as usual!

Kwani Polisi imepiga marufuku ibada?
 
Njoo tu muue kama ilivyo kawaida

Misa ya kuwaombea wahanga wa 29.10.2029 siyo kosa.
Kama nyinyi mnavyomuabudu mama , nasi tunamuabudu Yesunni hilo tu
Kama wana uwezo wapite watuue sasa. Tutaenda ibadani, mtu hawezi kukufinya na kukukataza kulia
 
Njoo tu muue kama ilivyo kawaida

Misa ya kuwaombea wahanga wa 29.10.2029 siyo kosa.
Kama nyinyi mnavyomuabudu mama , nasi tunamuabudu Yesunni hilo tu
Hakika nitakuwepo iwapo utatokea uuaji mwingΓ¬ne nami nikutwemoo niΓΉngane nΓ  wahanga tu.KuombΓ  nΓ kuamini ni Δ₯ki piΓ .
 
Polisi Mimi siielewi kitu oote kwenye hii taarifa ya oct29
 
Njoo tu muue kama ilivyo kawaida

Misa ya kuwaombea wahanga wa 29.10.2029 siyo kosa.
Kama nyinyi mnavyomuabudu mama , nasi tunamuabudu Yesunni hilo tu

Waongo hao...wanatengeneza budget kama ya kuzuia Elnino πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

watajazana kila sehemu halafu matumizi yanakuja kama kawaida
 
Waongo hao...wanatengeneza budget kama ya kuzuia Elnino πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

watajazana kila sehemu halafu matumizi yanakuja kama kawaida
Hiyo itakuwa ya kuzuia maombi kwa wahanga ama movie ipi ipo studio kwa sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…