Polisi imewachalaza viboko wale madada wa baikoko

ukiwauliza sana utasikia walikua walikua wanachangamkia "fursa"na kwenda zao
 
Safi sana.

Huyo lzm atakuwa afande ramadhani tu! Na wenzake kina juma na afande bakari!!

Manake kwenye uzi mwingine huko nyuma nimeskia afande joseph amekamatwa katorosha katoto ka kiki ka miaka 14.! Wananchi wenye hasira walitaka kuchoma nyumba yake!

Teh teh teh teh!

Skia sasa wanoko! Wataanza kusema mimi mdini!

Teh teh teh teh
 
yaani clipendi hilo kundi, tena cjui wanafundisha nini jamii!!polisi walitakiwa wawaweke ndani cku nzima na co nusu saa tu.
 
Polisi hawana haki ya kuchapa mtu yoyote bila hukumu ya mahakama. Ukweli ni kwamba watanzania tumezoea kuchapwa na kukubali viboko kama jambo la kawaida. Kwa mantiki hiyo naona kuwa ni jambo la kawaida.
 
Waliwachapa viboko vya aina gani huko selo? Hivi vya mashuleni au vile vya kiutu uzima chapa mtu.
 
Uchi uko wapi sasa?mbona siuoni,au macho yangu jamani yashazeeka!mweh
 
Sipendi kanga moko, bora wachapwe kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…