joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
MY TAKE: Katiba mpya bila akili na mawazo mapya ni bure tu.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa huyu hapa anatumia mfano wa Tanzaniahttps://youtu.be/9BQniKqOFJAKesho maandamano yako kama kawa, uzuri jeshi la polisi, mahakama hata rais ni vitu vitatu tofauti kwa Kenya siyo kama bongoland.
Juzi kuna jamaa alipiga marufuku media kutangaza live maandamano, gafla mahakama ikamuonya fasta jamaa akajifungia ndani.
Raila anatumia Tanzania Kama mfano wa kuigwa na polisi wa KenyaInspekta wa polisi hana mamlaka ya kuban maandamano, hadi rais mwenyewe hana. Sijui anatumia sheria gani kwa katiba.
Alafu wakenya si watu wa kutishiwa, watajitokeza tu na hamna kitu atafanya
Maandamano ya amani yameanza kusambaratishwa na polisi, hii ndio demokrasia wakenya walioipigania?Yani kwa jinsi “separation of power” inafanya kazi nchi kenya naona wivu kbsa.
Raisi hana mamlaka juu ya mahakama wa bunge na hawezi vunja katiba.
Siyo hii nchi ya Danganyika.
lakini wakenya wali-pay price ya mfumo wao huu mwaka 2007 kama sikosei, Danganyika hapa hakuna kitu twaweza gain without bloodshed
Maandamano yanatibu nini? Una taarifa kama kuna ukora umefanyika siku ya maandamano? Unajua kama kuna wajasiriamali mitaji itayumba sababu ya maandamano?Japokuwa mimi binafsi nilimuunga mkono Ruto kwenye uchaguzi uliopita lakini kwenye movement hii ya maandamano ninamuunga mkono Raila. Nimemuelewa sana. Hivi ndivyo siasa inapaswa kufanywa.
Maandamano ni haki kisheria bila kujali Kama yanatibu au hayatibu kitu chochote, haya maswali ulipaswa uwaulize wabunge wa Kenya na wananchi wa Kenya waliopitisha katiba iliyoruhusu maandamano, hutendi haki kuwauliza raia ambao wametii na kutekeleza kilichoruhusiwa na katiba ya nchi.Maandamano yanatibu nini? Una taarifa kama kuna ukora umefanyika siku ya maandamano? Unajua kama kuna wajasiriamali mitaji itayumba sababu ya maandamano?
Polisi wamedhibiti na kufanikiwa kusiriba katiba ya nchi Hadi SasaUpdates zipoje waungwana?
Mimi hapa naangalia KTN bado wako barabaraniPolisi wamedhibiti na kufanikiwa kusiriba katiba ya nchi Hadi Sasa
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sasa anataka Nini wakati mwenzake yupo madarakani kikatiba . Yaani anataka Ruto akimbie Ikulu halafu yeye aingue .Yaani huyo mzee RAO namuelewa sana sana, kuna wakati unaweza kujiona mdogo kumbe ndivyo ulivyo, sababu mazingira yanakufanya uwe hivyo.
Huyu mzee pamoja na kuwa ndiye chanzo vha mabadiriko makubwa ya kikatiba kuna watu wanamfanya mdogo, hawajui kumbe chini ya huo mbuyu kuna mzizi mmoja umeshikilia hiko jiti kubwa.