Polisi Kenya yampa maandazi mtu waliyemuokoa

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
8,130
Reaction score
8,362
Katika hali ya kustaajabisha na kushangaza Jeshi la polisi nchini Kenya limempatia maandazi makavu muhanga wa janga aliyezingirwa na maji kwa takribani siku tatu mpaka walipokuja kumuokoa. Jionee mwenyewe video na piicha zilizokamatwa wakati wa tukio.

IMG_20191204_203303.jpg
IMG_20191204_203241.jpg
Screenshot_2019-12-04-20-28-34-302_com.facebook.katana.jpg
Screenshot_2019-12-04-20-28-12-313_com.facebook.katana.jpg
Screenshot_2019-12-04-20-28-10-669_com.facebook.katana.jpg
Screenshot_2019-12-04-20-26-42-114_com.facebook.katana.jpg
 
Ila huyo jamaa naye ni jemba la kweli, siku tatu kwenye baridi, mvua, akiteswa na kiu, njaa na bado yupo strong. Hadi chopper ya kumuokoa ilipowasili aliingia yeye mwenyewe bila usaidizi wowote. Hapo ingekuwa ni mwanaume wa bongo lazima angezimia baada ya masaa 12, siku ya kwanza. [emoji1]
 
Hhehehe mlitaka apewe burger na pizza, kwanza ilifaa apelekewe ugali au makande au mihogo ili awe na nguvu baada ya kula vitu vya asili vya Kiafrika.
Wanaume wa Dar mna matatizo sana, legelege tu NAKWEDE hawa ndugu zako lini wataelewa haya mambo.
Hawa wanaume wana kasoro, yaani mpango wao wote huwa unaishia kwenye chipsi mayai kachumbari na toothpick. [emoji1] Unapata lidume lizima linatamba mjini alafu hata halijui kwamba lina stain ya tomato sauce kwenye ndevu. [emoji23]
 
Na wewe siku hizi unazungumza kiswahili nyoofu kabisa, hakika jf ni darasa,
 
Kiswahili cha Jf ni kibovu kupindukia, kile cha kuchanganyisha 'l' na 'r', rafudhi badala ya lafudhi. Ila tunakubaliana kwamba Jf ni darasa, maanake nimejifunza sasa hivi kwamba nikiandika comment kwenye jukwaa hili huwa 'ninazungumza'.
 
Hawa wanaume wana kasoro, yaani mpango wao wote huwa unaishia kwenye chipsi mayai kachumbari na toothpick. [emoji1] Unapata lidume lizima linatamba mjini alafu hata halijui kwamba lina stain ya tomato sauce kwenye ndevu. [emoji23]
Je nyinyi Kenya unakuta judume zima limevaa suti na tai na linaongea kingereza kumbe linaishj Kwa mavii ya slums za kibera
 
Back
Top Bottom