Ngoja mk254 aje atasema sio maandazi ni baga na piza
Hawa wanaume wana kasoro, yaani mpango wao wote huwa unaishia kwenye chipsi mayai kachumbari na toothpick. [emoji1] Unapata lidume lizima linatamba mjini alafu hata halijui kwamba lina stain ya tomato sauce kwenye ndevu. [emoji23]Hhehehe mlitaka apewe burger na pizza, kwanza ilifaa apelekewe ugali au makande au mihogo ili awe na nguvu baada ya kula vitu vya asili vya Kiafrika.
Wanaume wa Dar mna matatizo sana, legelege tu NAKWEDE hawa ndugu zako lini wataelewa haya mambo.
Ila huyo jamaa naye ni jemba la kweli, siku tatu kwenye baridi, mvua, akiteswa na kiu, njaa na bado yupo strong. Hadi chopper ya kumuokoa ilipowasili aliingia yeye mwenyewe bila usaidizi wowote. Hapo ingekuwa ni mwanaume wa bongo lazima angezimia baada ya masaa 12, siku ya kwanza. [emoji1]
Kiswahili cha Jf ni kibovu kupindukia, kile cha kuchanganyisha 'l' na 'r', rafudhi badala ya lafudhi. Ila tunakubaliana kwamba Jf ni darasa, maanake nimejifunza sasa hivi kwamba nikiandika comment kwenye jukwaa hili huwa 'ninazungumza'.Na wewe siku hizi unazungumza kiswahili nyoofu kabisa, hakika jf ni darasa,
Je nyinyi Kenya unakuta judume zima limevaa suti na tai na linaongea kingereza kumbe linaishj Kwa mavii ya slums za kiberaHawa wanaume wana kasoro, yaani mpango wao wote huwa unaishia kwenye chipsi mayai kachumbari na toothpick. [emoji1] Unapata lidume lizima linatamba mjini alafu hata halijui kwamba lina stain ya tomato sauce kwenye ndevu. [emoji23]
Hawa wanaume wana kasoro, yaani mpango wao wote huwa unaishia kwenye chipsi mayai kachumbari na toothpick. [emoji1] Unapata lidume lizima linatamba mjini alafu hata halijui kwamba lina stain ya tomato sauce kwenye ndevu. [emoji23]
Hhehehe mlitaka apewe burger na pizza, kwanza ilifaa apelekewe ugali au makande au mihogo ili awe na nguvu baada ya kula vitu vya asili vya Kiafrika.
Wanaume wa Dar mna matatizo sana, legelege tu NAKWEDE hawa ndugu zako lini wataelewa haya mambo.