Polisi kuacha kazi yao na kufanya kazi kwa wachina

Wamazombe

Member
Joined
Mar 25, 2013
Posts
15
Reaction score
6
Hivi sheria inamruhusu askari polisi kufanya kazi ya ulinzi kwa wachi?Maana hata kazi yao wameitelekeza kabisa! Wanapewa mpaka job card ambayo husainiwa kila anapotoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…