wanajf naomba tujadili
uhalali wa jesh la polisi kutumia risasi za moto kwa lengo la kumwokoa
M/kiti wa kijiji kigamboni baada ya kutekwa na wanakijiji wake baada
kutokea vurugu kati yao na police baada ya kuondolewa kwa nguvu ktk eneo
lao la kuchimba kokoto. .Je ni halali kwa polisi kufanya hvyo? Je
hakuna mbinu mbadala mpaka kutumia risasi za moto? Je kutumia risasi za
moto haiamshi hasira zaidi kwa wananchi? Hatujaonyeshwa kama wananchi
walikuwa na silaha za hatari je inatoa tafsiri gani kwa jeshi letu-? Kwa
wanaojua sheria tupeni ufafanuzi kwa hili jambo.SOURCE ITV